kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
Habari Wakuu,
Namependa aina ya biashara ya kufuga ng'ombe. Mimi ni kijana wa miaka 29 ninatamani kupata utaalamu wa kufuga ng'ombe ila sijui nianzie wapi kuanzia;
- Aina ya Ng'ombe
- Muda wa kuwatunza
- Aina ya chakula
- Mazingira ya kuwatunza
- Makadirio ya faida
- Ushauri binafsi
Asanteni sana wakuu, natanguliza shukrani
NB:
Nina kashamba nimenunua mkoa wa pwani kama Hekari 20
Sent using Jamii Forums mobile app