Mkuu pole sana na mungu akufariji sana, lakini lililokubwa ni upendo wako wa dhati kwetu kwa kutujulisha hilo. mungu akusaidie kwani mama ni mama na peengo lake hakuna wa kuliziba we bwana mkubwa jitahidi kumuenzi kwa kuzingatia wosia wake, mungu amrehemu sana huko alipo, mama yetu huyo ametangulia nasi tutamfata.