Ninatarajia kumng'oa Evans Aveva Simba , ameshindwa uongozi

Ninatarajia kumng'oa Evans Aveva Simba , ameshindwa uongozi

Simba mkimkimbiza aveva mrudisheni yule mzee wa kazi ' Dalali' au hata mzee wa fitna 'Wambura'
 
Baada ya uzi huu viongozi walioshindwa kuongoza simba wanahaha kumdukua erythrocyte ili wamloge , mikakati mingine hatuweki hapa , kama umefedheheshwa na klabu yako ya simba niunge mkono ufurahi .
 
lakini tukishamng'oa tunamweka nani na katika mfumo upi?
Mimi mwenyewe nataka uongozi wa simba si mamluki wa mtu yeyote , naweza kuongoza simba na ninao uzoefu wa kutosha , hakuna mfumo wowote wa kuongoza club ya soka duniani isipokuwa ushindi na kutwaa vikombe , tumechoka na utapeli wao wa uwanja wa bunju , sijawahi kuona uwanja unaojengwa kwa sululu , mafyekeo , mapanga na mashoka , huu ni muujiza .
 
sijui kwann nlikuwa na was was na aveva!! ? ila hisia zangu naona zilikua sahihi kwa hali ya sasa,hiyo ya songea inathibitisha ukweli kuwa ni kweli wachezaji wa kigeni wanadai mishahara ndo maana hawa kwenda songea,na msemaji wao anasema eti ni maamuzi ya kocha,hahahaaaa.
 
Kiukweli hali ya simba ni ya kusikitisha mno ! Hatua za haraka zisipochukuliwa wanachama tutegemee aibu zaidi .

Kitendo cha jana Songea cha timu kulala kwenye hotel yenye kunguni na wachezaji kutumia usafiri wa bodaboda hakivumiliki na cha aibu.

Nimejitosa rasmi kumng'oa Aveva na kamati yake ya utendaji ili kuleta heshima msimbazi .

Wadau niungeni mkono .
umefikia wapi mkuu
 
Nadhani sasa wadau mmenielewa , nawashukuru kwa utulivu wenu , njooni sasa tuijenge simba yetu , Mungu awabariki sana.
 
Mkuu Unataka kuniambia mipango ndo imekamilika
?
Mjomba hata kama kuona huwezi basi hata kupapasa umeshindwa ? Hivi unadhani aveva atarudi simba ? Nilitoa tahadhari mapema sana nadhani wewe ni mmoja wa mashahidi .
 
Back
Top Bottom