Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kuna mafahali wawiwili wapo ndani wanaiangamiza simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwenyewe nataka uongozi wa simba si mamluki wa mtu yeyote , naweza kuongoza simba na ninao uzoefu wa kutosha , hakuna mfumo wowote wa kuongoza club ya soka duniani isipokuwa ushindi na kutwaa vikombe , tumechoka na utapeli wao wa uwanja wa bunju , sijawahi kuona uwanja unaojengwa kwa sululu , mafyekeo , mapanga na mashoka , huu ni muujiza .lakini tukishamng'oa tunamweka nani na katika mfumo upi?
TBL Wamechukua Yutong laoHalina mafuta .
acha utaniTBL Wamechukua Yutong lao
Labda wese lilikata!Mbn dar walitoka na basi lao?iweje watumie daladala?
umefikia wapi mkuuKiukweli hali ya simba ni ya kusikitisha mno ! Hatua za haraka zisipochukuliwa wanachama tutegemee aibu zaidi .
Kitendo cha jana Songea cha timu kulala kwenye hotel yenye kunguni na wachezaji kutumia usafiri wa bodaboda hakivumiliki na cha aibu.
Nimejitosa rasmi kumng'oa Aveva na kamati yake ya utendaji ili kuleta heshima msimbazi .
Wadau niungeni mkono .
HahahahahahUkute hata hizo boda boda walipanda mishkaki.
Niko sehemu nzuri sana , sitaongea mengi kwa sababu za kijasusi .umefikia wapi mkuu
ongezajuhudi mkuu unachelewaaaaNiko sehemu nzuri sana , sitaongea mengi kwa sababu za kijasusi .
Tatizo huku simba kumejaa wachumia tumbo wengi sana , kuna mipango inakamilishwa na team yangu ya kampeni , usikae mbali na jf .ongezajuhudi mkuu unachelewaaaa
Nadhani sasa wadau mmenielewa , nawashukuru kwa utulivu wenu , njooni sasa tuijenge simba yetu , Mungu awabariki sana.Kiukweli hali ya simba ni ya kusikitisha mno ! Hatua za haraka zisipochukuliwa wanachama tutegemee aibu zaidi .
Kitendo cha jana Songea cha timu kulala kwenye hotel yenye kunguni na wachezaji kutumia usafiri wa bodaboda hakivumiliki na cha aibu.
Nimejitosa rasmi kumng'oa Aveva na kamati yake ya utendaji ili kuleta heshima msimbazi .
Wadau niungeni mkono .
Mjomba hata kama kuona huwezi basi hata kupapasa umeshindwa ? Hivi unadhani aveva atarudi simba ? Nilitoa tahadhari mapema sana nadhani wewe ni mmoja wa mashahidi .Mkuu Unataka kuniambia mipango ndo imekamilika
?