Ninatarajia kumng'oa Evans Aveva Simba , ameshindwa uongozi

Sasa hivi ninaendelea kuchunguxa uhalali wa Mohamed Dewji kuitaka simba .
 
Sasa hivi ninaendelea kuchunguxa uhalali wa Mohamed Dewji kuitaka simba .
Ivyo Wambura adhabu yake inaisha lini, huyo jamaa naona kama team ingemtumia kwenye baadhi ya mambo hii ya kuitwa wa matopeni isingekuwa kwa kiasi hicho
 
Hapo ndo kuna utapeli mkubwa kuliko wa aveva huo utaondoka mpaka na ndoto yako usipokuwa makini
Nimejipanga kikamilifu , huu si mpango wa juzi ni mkakati wa muda mrefu sana , Aden Rage anayo harufu yake .
 
mkuu imekuwaje tenaaa
mbona jamaa amerudi tena.
 
mngo'e, ......ila si anahojiwa, imekuwaje
 
mkuu imekuwaje tenaaa
mbona jamaa amerudi tena.
Hata mgonjwa anayekata roho yuko namna hiyo , siku ya kufa mnaweza kudhani ataruhusiwa na madaktari , anachangamka sana halafu anaongea weeee !!! Lakini baada ya kitambo kidogo anazimika !!!
 
Hata mgonjwa anayekata roho yuko namna hiyo , siku ya kufa mnaweza kudhani ataruhusiwa na madaktari , anachangamka sana halafu anaongea weeee !!! Lakini baada ya kitambo kidogo anazimika !!!
mkuu haya matumaini cyo hewa kweli?
 
Umng'oe ww ungoze vp wakt hujawahi hata kuwa kiongozi wa darasa vidudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…