Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Ha! Ha! Ha!siongezi neno mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha! Ha! Ha!siongezi neno mkuu!
Juhudi zangu si tu zimeonekana bali pia zimelipa , Mungu ibariki simba .ongezajuhudi mkuu unachelewaaaa
Ivyo Wambura adhabu yake inaisha lini, huyo jamaa naona kama team ingemtumia kwenye baadhi ya mambo hii ya kuitwa wa matopeni isingekuwa kwa kiasi hichoSasa hivi ninaendelea kuchunguxa uhalali wa Mohamed Dewji kuitaka simba .
Hapo ndo kuna utapeli mkubwa kuliko wa aveva huo utaondoka mpaka na ndoto yako usipokuwa makiniSasa hivi ninaendelea kuchunguxa uhalali wa Mohamed Dewji kuitaka simba .
Nimejipanga kikamilifu , huu si mpango wa juzi ni mkakati wa muda mrefu sana , Aden Rage anayo harufu yake .Hapo ndo kuna utapeli mkubwa kuliko wa aveva huo utaondoka mpaka na ndoto yako usipokuwa makini
Go ahead...Nimejipanga kikamilifu , huu si mpango wa juzi ni mkakati wa muda mrefu sana , Aden Rage anayo harufu yake .
Ha ha ha haaa #MoBil20Sasa hivi ninaendelea kuchunguxa uhalali wa Mohamed Dewji kuitaka simba .
mngo'e, ......ila si anahojiwa, imekuwajeKiukweli hali ya simba ni ya kusikitisha mno ! Hatua za haraka zisipochukuliwa wanachama tutegemee aibu zaidi .
Kitendo cha jana Songea cha timu kulala kwenye hotel yenye kunguni na wachezaji kutumia usafiri wa bodaboda hakivumiliki na cha aibu.
Nimejitosa rasmi kumng'oa Aveva na kamati yake ya utendaji ili kuleta heshima msimbazi .
Wadau niungeni mkono .
Hata mgonjwa anayekata roho yuko namna hiyo , siku ya kufa mnaweza kudhani ataruhusiwa na madaktari , anachangamka sana halafu anaongea weeee !!! Lakini baada ya kitambo kidogo anazimika !!!mkuu imekuwaje tenaaa
mbona jamaa amerudi tena.
Kazi imekwisha .mngo'e, ......ila si anahojiwa, imekuwaje
mkuu haya matumaini cyo hewa kweli?Hata mgonjwa anayekata roho yuko namna hiyo , siku ya kufa mnaweza kudhani ataruhusiwa na madaktari , anachangamka sana halafu anaongea weeee !!! Lakini baada ya kitambo kidogo anazimika !!!
Leo wote wapo segereaItakuwa kama Malinzi alivyokuwa anapambana kuingia tff
Kumbe ni mbumbumbu first class
Tunataka kiongozi mwenye vision wala hao kina dewj hawana lolote, wanataka wapige hela tuu huku simba ikididimia
Bado kidogo mkuuMkuu ninaona umekamilisha kazi
Hujaridhika tu mkuu?Bado kidogo mkuu
Subiri kidogo , naandaa uzi wa shukrani .Hujaridhika tu mkuu?