Passport na kadi ya chanjo ya homa ya manjanoHabari wakuu,
Nina matarajio ya kusafiri kwenda Kenya, naomba kuuliza ni vitu gani vya ku consider hasa hasa pale border namanga, hadi nairobi, nategemea kukaa kwa wiki moja on personal reason nchini kwenya, so here i am asking things to consider?
Muone wewe unapomjibu uko jamvi gani? Na unaelekea wapi tujue!Usiku huu mnene huko jamvin unaposti uzi. Kama taifa tunaelekea wapi? Wewe ni mchawi? Tendea haki mwili wako bana. Huu ni wakati wa kulala na kupumzika. DP world tusaidieni asee!
Pale ni passport na kadi ya manjano. Au kama huna passport watakupatia temporary passport. Na kama huna kadi ya manjano watakuchoma chanjo wakupe kadi ya manjano.
Pia chenjisha kabisa mia mbili za kenya uwe nazo za kutosha kwa ajili ya kuwapooza askari barabarani mana wananjaa sana
Mkuu Lusungo sisi waafrika waajabu. Passport ya nini Africa siyo Africa tu Africa mashariki? Si kuna East Africa community si kuna AU. Si walisaini treatyPassport na kadi ya chanjo ya homa ya manjano
Kulikuwa hamna haja ya kuonesha vitambulisho mipakani East Africa ama Africa.Pale ni passport na kadi ya manjano. Au kama huna passport watakupatia temporary passport. Na kama huna kadi ya manjano watakuchoma chanjo wakupe kadi ya manjano.
Pia chenjisha kabisa mia mbili za kenya uwe nazo za kutosha kwa ajili ya kuwapooza askari barabarani mana wananjaa sana
Kjana kama kijana mtafuta fursa achagui muda wala saa. ,,, Mm nimeona fursa kule kenya so nataka kwenda cheki mzee ,, hivi ushasikia kitu kinaitwa. rocks grinder machine ,,, rocks crusher machine..... Fursa hii mzee kuna ujenzi wa barabara kama zote huku ma-wilayani.....!!!!Usiku huu mnene huko jamvin unaposti uzi. Kama taifa tunaelekea wapi? Wewe ni mchawi? Tendea haki mwili wako bana. Huu ni wakati wa kulala na kupumzika. DP world tusaidieni asee!
Shukrani sana , hiyo kadi ya ugonjwa wa manjano kipengele mm sipendi kuchomwa chomwa sindano ovyo yaaaniPale ni passport na kadi ya manjano. Au kama huna passport watakupatia temporary passport. Na kama huna kadi ya manjano watakuchoma chanjo wakupe kadi ya manjano.
Pia chenjisha kabisa mia mbili za kenya uwe nazo za kutosha kwa ajili ya kuwapooza askari barabarani mana wananjaa sana
Mbona comment yako imejirudia mara mia? Tatizo nini?Shukrani sana , hiyo kadi ya ugonjwa wa manjano kipengele mm sipendi kuchomwa chomwa sindano ovyo yaaani
Issue ni hii kuna kampuni lipo nairobi kenya linahusika na uuzaji wa machine za kupasulia miamba na kusaga miamba up to designed state saa nata niende huko nkacheki japo kufanya survey tuu ili panapo , Majaliwa niweze fungua investment hii ya rocks crushing and pulverizer manufacture
Waambie washua wakudhamini uende majuuShukrani sana , hiyo kadi ya ugonjwa wa manjano kipengele mm sipendi kuchomwa chomwa sindano ovyo yaaani