Ninatarajia kusafiri kwenda Kenya, ni vitu gani vya kuzingatia hasa pale mpakani Namanga?

Kadi ya homa ya manjano ku foji inawezekana bibie??? Na haya ya covid 19 .....maana sipendi pendi kuchomwa chomwa sindano aseeeee......
Kufoji sijui kama inawezekana, kama uko dar nenda kachome pale hospital ya mnazi mmoja
 
Hivi ugonjwa wa homa ya manjano si umeshaisha na kupotea kabisa ,,, sasa madudu gani tena haya...
Mlipo halali, unapewa receipt ya serikali, ila inauma hiyo sindano 🤣 🤣 🤣 🤣 mie nilichomea pale pale mpakani

Hivi nauli ya kutoka arusha mjini mpaka namanga ni sh ngap na gari za kwenda huwa zinakaa wap
 
Back
Top Bottom