Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Jitahidi pia ubebe na Kamusi ili ukawafundishe Kiswahili sanifu, walau kwa hizo siku chache utakazo kaa huko.Habari wakuu,
Nina matarajio ya kusafiri kwenda Kenya, naomba kuuliza ni vitu gani vya ku consider hasa hasa pale border namanga, hadi nairobi, nategemea kukaa kwa wiki moja on personal reason nchini kwenya, so here i am asking things to consider?
Maana hao Wakenya wanapendanga sana Kiswahili. Ila kwa bahati mbaya Kiswahili chenyewe kimegoma kabisa kuwapenda.