Jitahidi pia ubebe na Kamusi ili ukawafundishe Kiswahili sanifu, walau kwa hizo siku chache utakazo kaa huko.Habari wakuu,
Nina matarajio ya kusafiri kwenda Kenya, naomba kuuliza ni vitu gani vya ku consider hasa hasa pale border namanga, hadi nairobi, nategemea kukaa kwa wiki moja on personal reason nchini kwenya, so here i am asking things to consider?
temporary bei gan?Pale ni passport na kadi ya manjano. Au kama huna passport watakupatia temporary passport. Na kama huna kadi ya manjano watakuchoma chanjo wakupe kadi ya manjano.
Pia chenjisha kabisa mia mbili za kenya uwe nazo za kutosha kwa ajili ya kuwapooza askari barabarani mana wananjaa sana
Ipi? Ile kubwa au ndogo?Kupata passport ni bei gani mkuu ??
Makanjoo ni watu gani?Ukifika nairob CBD usithubutu kutema mate hovyo, kukojoa uchochoron au kutupa taka hovyo... ukidakwa na makanjoo utaishia mahakaman kama hutowapooza
Zote zina hadhi.Yenye hadhinya kuvuka mpaka wa TZ na kenya pale namanga
Makarauu yaan polisiMakanjoo ni watu gani?