Kufoji sijui kama inawezekana, kama uko dar nenda kachome pale hospital ya mnazi mmojaKadi ya homa ya manjano ku foji inawezekana bibie??? Na haya ya covid 19 .....maana sipendi pendi kuchomwa chomwa sindano aseeeee......
Hiyo 30,000/= ni malipo halali ya hiyo chanjo au ni pamoja na rushwa?Kadi ya homa ya manjano ila kama huna utachanjwa hapo hapo, uwe na Tsh 30,000
Mlipo halali, unapewa receipt ya serikali, ila inauma hiyo sindano 🤣 🤣 🤣 🤣 mie nilichomea pale pale mpakaniHiyo 30,000/= ni malipo halali ya hiyo chanjo au ni pamoja na rushwa?
Mlipo halali, unapewa receipt ya serikali, ila inauma hiyo sindano 🤣 🤣 🤣 🤣 mie nilichomea pale pale mpakani