Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

Kubwa sana hiyo. Visa za magumashi mara kibao watu tumeshuka EU kwa $200-300
Msaidie basi jamaa maana Mimi nnakumbuka bro wangu alipata ya shengen alitakiwa kulipa dollars 2000 lakini jamaa baadae hakuchukua hela akataka brother aondoke na mdogo wake ndio malipo yake kwahiyo brother akafanya hivyo huu mwaka karibu wa 10 washachukua na uraia huko walipo
 
Apply chuo, timiza mashart yote.utapata visa ya kwenda kusoma. Ukifika ufanye akili yako itakavyokutuma.umakini unahitajika.
 
Dollar elfu moja ni nyingi mkuu unata fake Visa au genuine one

Fake visa to all over EU euro 400
Genuine EU visa euro 3000
Visa yako utatumiwa kwa Dhl unaipokea posta

Nothing is impossible in this fuckng world
 
Dollar elfu moja ni nyingi mkuu unata fake Visa au genuine one

Fake visa to all over EU euro 400
Genuine EU visa euro 3000
Visa yako utatumiwa kwa Dhl unaipokea posta

Nothing is impossible in this fuckng world
Ahahahaha!! Wapi wanatoa hii! Au wale jamaa wa telegram? Ni link nao nione.
 
Still waiting! [emoji41]
 
Daah yaani bado mnasumbuka kwenda ulaya njia rahisi tafuta visa ya Hungary au Nchi yeyote ambayo ina masharti mepesi ukifika huko entry visa ya kwenda sehemu ingine kirahisi ila hii ilikua kabla ya Corona wale wa USA walikua wanaenda Mexico hata hiki kipindi cha Trump kwa wale wanaotaka kujilipua huko Ila kwa mwendaji na kurudi ukiwa na familia bongo USA ukienda kama mchungaji ni njia rahisi ila awepo mtu wa kanisa kule...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…