Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

Kuna uzi flani mleta maada aliwahi kuchangia kuwa anafanya biashara fulani huko zanzibar na imemtoa kwa muda mfupi kaanza kupiga pesa ndefu,
Basi watu wakaanza kumuomba awaelekeze ili nawao wajikwamue kimaisha jamaa ulikataa kata kata,

Wengine wakaanza kuhisi huenda ni biashara haramu, nilichojifunza ni kwamba Kiranga ni mtu makini sana anaweza kunusa udanganyifu au hatari kwa haraka sana, kiufupi Luna uwezekano wa mtu kuingia matatizoni
 
Cc Kiranga,
Screenshot_20210514-103715.jpg
Screenshot_20210514-103506.jpg
 
Eti the boss huyo mama visa ya UK anachukua bei gani? Naona wameanza kupunguza masharti ya lockdown
Uk hawana masharti Mengi kama USA na GErmany , unahitaji Kua na barua ya mualiko, barua ya Kazini , barua ya agent utakaponunua ticket , bank statement zako that’s it , husiliwe hela kuna Stationery wanasaidia kujaza zile forms za viza online na hakuna interview una peleka documents zako viva tower
 
Kuna uzi flani mleta maada aliwahi kuchangia kuwa anafanya biashara fulani huko zanzibar na imemtoa kwa muda mfupi kaanza kupiga pesa ndefu,
Basi watu wakaanza kumuomba awaelekeze ili nawao wajikwamue kimaisha jamaa ulikataa kata kata,

Wengine wakaanza kuhisi huenda ni biashara haramu, nilichojifunza ni kwamba Kiranga ni mtu makini sana anaweza kunusa udanganyifu au hatari kwa haraka sana, kiufupi Luna uwezekano wa mtu kuingia matatizoni
Wauza madawa ya kulevya sio watu wadogo na hawaungi ungi Safari Kama Mimi hivi.
Hawa wako full documents, Wana passport, Visa na pocket money ya kutosha.
I wish Kama ungenipa mchongo wa kuuza madawa I wouldn't hesitate because I always calculate my risks and if it pays off.... I'm in! Na Safari yangu ingekuwa very smooth.
 
Wewe jamaa hujipendi unataka mchongo wa madawa tena
Mkuu nenda na maisha haya polepole
TUPO NA MAMA USIONDOKE BONGO BILA SABABU UTAPAKUMBUKA
 
Kuwa makini sana na hiyo issue la sivyo utatapeliwa na visa hutapata. Kwanini usikomae kukidhi mahitaji kabla ya kukomaa na shortcut.
 
Mkuu kama unajua kijerumani na unataka kwenda ujerumani nicheki tuongee nafahamiana na mama wa kitengo cha VISA german embassy, naweza kukutqnisha nae ukampanga ila kwa mbinu maalumu unaweza pata visa within two days
Nimefikia hatua nzuri kwa sasa this soon naweza kuondoka. Asante kwa concern yako mkuu.
 
Muhimu Ni kuwa mvumilivu tu maana vya halali vinachukua muda mrefu kukamilika hapo ndipo unakuta raia tunatafuta shortcut ambayo badae inatugharimu vibaya, wacha niwe na subira
Utaenda ulaya ukiwa na wajukuu! Bora ulipe dollar 200 ukazeekee huko!
 
Uk hawana masharti Mengi kama USA na GErmany , unahitaji Kua na barua ya mualiko, barua ya Kazini , barua ya agent utakaponunua ticket , bank statement zako that’s it , husiliwe hela kuna Stationery wanasaidia kujaza zile forms za viza online na hakuna interview una peleka documents zako viva tower
mkuu viva tower pale kuna agent..samahan nipe muongozo vzry
 
Kuna uzi flani mleta maada aliwahi kuchangia kuwa anafanya biashara fulani huko zanzibar na imemtoa kwa muda mfupi kaanza kupiga pesa ndefu,
Basi watu wakaanza kumuomba awaelekeze ili nawao wajikwamue kimaisha jamaa ulikataa kata kata,

Wengine wakaanza kuhisi huenda ni biashara haramu, nilichojifunza ni kwamba Kiranga ni mtu makini sana anaweza kunusa udanganyifu au hatari kwa haraka sana, kiufupi Luna uwezekano wa mtu kuingia matatizoni
Watu wanavipunguzia kazi vyombo vya usalama kwa kupost ushahidi mtandaoni.

Hawajui JF inaweza kuwa subpoenaed/ warranted kisheria kutoa IP address za member katika uchunguzi wa kipolisi.
 
kaka ifike hatua watanzania tuwe kama wanaijeria tusaidiane kutimiza malengo ndo msingi wa ubinaadamu na ili waafrika tuendelee
Hata kama tunataka kusaidiana kufikisha malengo, kusaidiana kwa kufuata njia zilizowekwa ni kuzuri kuliko njia za panya.

Yani hata kama unafanya makaratee na masarakasi, unatakiwa kufanya hayo makaratee na masarakasi kwa akili mpaka serikali inapojua unafanya makaratee ishindwe kukufanya lolote, kwa sababu unayafanya ndani ya sheria zilizowekwa!

Mimi niko viwanja vikubwa nimeingia kwa njia za kueleweka nafurahia maisha, sijawahi kuwa out of status hata kwa sekunde moja mpaka nimechukua uraia wa Mnyamwezi.

Naona watu wanavyohangaika kila siku kwa sababu tu hawakufuata njia zinazoeleweka, watu wamesoma wanafanya kazi ziko chini sana ya uwezo wao, watu wanafiwa na wazazi wao wanashindwa kurudi Africa kuzika kwa sababu wakiondoka hawana uhakika wa kurudi tena ughaibuni, watu wanaishi kinyemela nyemela kwa unyonge sana, hata wakifanyiwa uonevu hawawezi kushitaki kwa kuogopa kuwa deported.

Kwa hiyo hizo njia mnazoona shortcut ndiyo kiuhalisia zinaweza kuwa ndefu zaidi katika maisha, na hizo njia mnazoona ndefu ndiyo zinaweza kuwa na manufaa zaidi.
 
Mimi Kuna mshkaji alitumia hii njia tena kipindi hiki cha corona aliomba Norway sijui Spain ila yupo kwenye Nchi aliyotaka kwenda yeye hapo bongo hakupata ushirikiano akaamua kudivert njia...hao wa maroli hawana karatasi wala chochote
So aliomba visa ya norway kisha akaelekea nchi gani mkuu?
 
Yan mm nakulewa vijana humu wanapigiwa story tu,wanazani kupata visa ni kama kwenda chooni mavi yanapokubana unakunya,unachamba then unatoka zako

Kama hujawah kutembea kwenda nchi yeyote Africa au Europe nakushauri anza na nchi ambazo ni free visa waiver kama Singapore, HK,Malaysia etc
So mkuu unaanza na nchi hizi za visa free / visa on arrival kupata uzeofu , exposure au ndio inakuongezea uzito wakati wa kuomba visa za nchi nyingine?? Naomba ufafanuzi Mkuu?
 
Back
Top Bottom