OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Uk hawana masharti Mengi kama USA na GErmany , unahitaji Kua na barua ya mualiko, barua ya Kazini , barua ya agent utakaponunua ticket , bank statement zako that’s it , husiliwe hela kuna Stationery wanasaidia kujaza zile forms za viza online na hakuna interview una peleka documents zako viva towerEti the boss huyo mama visa ya UK anachukua bei gani? Naona wameanza kupunguza masharti ya lockdown
Wauza madawa ya kulevya sio watu wadogo na hawaungi ungi Safari Kama Mimi hivi.Kuna uzi flani mleta maada aliwahi kuchangia kuwa anafanya biashara fulani huko zanzibar na imemtoa kwa muda mfupi kaanza kupiga pesa ndefu,
Basi watu wakaanza kumuomba awaelekeze ili nawao wajikwamue kimaisha jamaa ulikataa kata kata,
Wengine wakaanza kuhisi huenda ni biashara haramu, nilichojifunza ni kwamba Kiranga ni mtu makini sana anaweza kunusa udanganyifu au hatari kwa haraka sana, kiufupi Luna uwezekano wa mtu kuingia matatizoni
Wewe jamaa hujipendi unataka mchongo wa madawa tenaWauza madawa ya kulevya sio watu wadogo na hawaungi ungi Safari Kama Mimi hivi.
Hawa wako full documents, Wana passport, Visa na pocket money ya kutosha.
I wish Kama ungenipa mchongo wa kuuza madawa I wouldn't hesitate because I always calculate my risks and if it pays off.... I'm in! Na Safari yangu ingekuwa very smooth.
Still waiting! [emoji41]
Nimefikia hatua nzuri kwa sasa this soon naweza kuondoka. Asante kwa concern yako mkuu.Mkuu kama unajua kijerumani na unataka kwenda ujerumani nicheki tuongee nafahamiana na mama wa kitengo cha VISA german embassy, naweza kukutqnisha nae ukampanga ila kwa mbinu maalumu unaweza pata visa within two days
Utaenda ulaya ukiwa na wajukuu! Bora ulipe dollar 200 ukazeekee huko!Muhimu Ni kuwa mvumilivu tu maana vya halali vinachukua muda mrefu kukamilika hapo ndipo unakuta raia tunatafuta shortcut ambayo badae inatugharimu vibaya, wacha niwe na subira
mkuu viva tower pale kuna agent..samahan nipe muongozo vzryUk hawana masharti Mengi kama USA na GErmany , unahitaji Kua na barua ya mualiko, barua ya Kazini , barua ya agent utakaponunua ticket , bank statement zako that’s it , husiliwe hela kuna Stationery wanasaidia kujaza zile forms za viza online na hakuna interview una peleka documents zako viva tower
Inakuwaje mkuu?
Watu wanavipunguzia kazi vyombo vya usalama kwa kupost ushahidi mtandaoni.Kuna uzi flani mleta maada aliwahi kuchangia kuwa anafanya biashara fulani huko zanzibar na imemtoa kwa muda mfupi kaanza kupiga pesa ndefu,
Basi watu wakaanza kumuomba awaelekeze ili nawao wajikwamue kimaisha jamaa ulikataa kata kata,
Wengine wakaanza kuhisi huenda ni biashara haramu, nilichojifunza ni kwamba Kiranga ni mtu makini sana anaweza kunusa udanganyifu au hatari kwa haraka sana, kiufupi Luna uwezekano wa mtu kuingia matatizoni
Hata kama tunataka kusaidiana kufikisha malengo, kusaidiana kwa kufuata njia zilizowekwa ni kuzuri kuliko njia za panya.kaka ifike hatua watanzania tuwe kama wanaijeria tusaidiane kutimiza malengo ndo msingi wa ubinaadamu na ili waafrika tuendelee
So aliomba visa ya norway kisha akaelekea nchi gani mkuu?Mimi Kuna mshkaji alitumia hii njia tena kipindi hiki cha corona aliomba Norway sijui Spain ila yupo kwenye Nchi aliyotaka kwenda yeye hapo bongo hakupata ushirikiano akaamua kudivert njia...hao wa maroli hawana karatasi wala chochote
So mkuu unaanza na nchi hizi za visa free / visa on arrival kupata uzeofu , exposure au ndio inakuongezea uzito wakati wa kuomba visa za nchi nyingine?? Naomba ufafanuzi Mkuu?Yan mm nakulewa vijana humu wanapigiwa story tu,wanazani kupata visa ni kama kwenda chooni mavi yanapokubana unakunya,unachamba then unatoka zako
Kama hujawah kutembea kwenda nchi yeyote Africa au Europe nakushauri anza na nchi ambazo ni free visa waiver kama Singapore, HK,Malaysia etc
Wee. LARosa hasa unataka kwenda nchi gani? Nadhani wewe unataka popote ulaya au America kutafuta maisha. Kila la kheri ndugu yetu.Fanya hivyo labda unaweza kula commission yako. Nasubiri.