Ninatoa particles ngumu zenye harufu mbaya sana kooni

Ninatoa particles ngumu zenye harufu mbaya sana kooni

Hta mi vinaniumbuwa sana ila vinashape ndogo ndogo ni utando wa fat sometimes unakuwa hata ktk fizi mi nikila supu mfano yenye mafuta mengi hasaya utumbo ilo tatizo nalipata sana ila usafi wa kinywa ni mzuri mupunguza tatizo
 
You have tonsils stones . It’s very simple to treat . Ni home treatment kwanza . Njoo dm . I help you out . Nothing special no complications and it’s a very common thing . Hospital unaenda kupigwa hela tu . Watu wana kupinikisha humu .
 
Mbona vitu vya kawaida tu 😂Tonsils stone Japo mwanzoni nilipanic pia
 
Ngoja waje ma DR. watoe ufafanuzi wa kitaalamu naona wenye tatizo hilo ni wengi sana.
 
You have tonsils stones . It’s very simple to treat . Ni home treatment kwanza . Njoo dm . I help you out . Nothing special no complications and it’s a very common thing . Hospital unaenda kupigwa hela tu . Watu wana kupinikisha humu .
Dm teeena baki na dawa yako
 
Mkuu, haraka kafanyiwe uchunguzi isije ikawa baa la Kansa ya Koo, ingawaje hatuombi ifike huko Mkuu.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ilo neno baa limenifurahisha sana hasa lilivyotumika
 
Back
Top Bottom