heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Hta mi vinaniumbuwa sana ila vinashape ndogo ndogo ni utando wa fat sometimes unakuwa hata ktk fizi mi nikila supu mfano yenye mafuta mengi hasaya utumbo ilo tatizo nalipata sana ila usafi wa kinywa ni mzuri mupunguza tatizo