Ninatoa particles ngumu zenye harufu mbaya sana kooni

Zambavuni

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Posts
118
Reaction score
26
Ndugu zangu wana JF.
Nina tatizo kutoka vipande vyenye rangi ya cream kama makohozi yaliyoganda sana kwenye koo. Vinakuwa na ukubwa wa mahare madogo au kunde. Vinatoka kama mara moja baada ya miezi miwili hadi mitatu hivi. Ni kivibonyeza vinabonyea na vina harufu mbaya sana. mara nyingi vinatoka nikiinamisha kichwa nikitaka kutema mate baada ya kujisikia kama kuna kitu kina kwaruza kwenye koo. Nirijaribu kukipeleka siku moja Hospitali ya Tumbi, lakini Daktari hakutambua ni nini? Kuna mtu ana uzoefu wa tatizo hilo? Picha yake ingawa haikutoka vizuri ni hiyo hapo chini. Nifahamishe wana JF.

Aksante.

20220908_124231.jpg

k.JPG
 
Aksante sana nitajitahidi nifike kwa uchunguzi
 
Ndugu zangu wana JF.
Nina tatizo kutoka vipande vyenye rangi ya cream kama makohozi yaliyoganda sana kwenye koo. Vinakuwa na ukubwa wa mahare madogo au kunde. Vinatoka kama mara moja baada ya miezi miwili hadi mitatu hivi. Ni kivibonyeza vinabonyea na vina harufu mbaya sana. mara nyingi vinatoka nikiinamisha kichwa nikitaka kutema mate baada ya kujisikia kama kuna kitu kina kwaruza kwenye koo. Nirijaribu kukipeleka siku moja Hospitali ya Tumbi, lakini Daktari hakutambua ni nini? Kuna mtu ana uzoefu wa tatizo hilo? Picha yake ingawa haikutoka vizuri ni hiyo hapo chini. Nifahamishe wana JF. Aksante.

View attachment 267439

Today I Found Out what those foul smelling, small, white-ish, chunks that you can sometimes feel at the back of your throat when you swallow are. They’re called Tonsilloliths or Tonsil Stones.

Although most people experience these little white balls at the back of the throat that often get coughed up into the mouth, this widespread affliction is rarely talked about and the awareness about it very low. Many suffer in silence believing that their alone or the occurrence is nothing more than dregs of last night’s dinner. Another reason people don’t dispense with their problem of tonsil stones is because they are embarrassingly nasty and foul smelling!

Tonsilloliths, also known as tonsil stones are stinky little globs of mucus, dead cells, debris and bacteria that form in the tonsil crypts which are simply small pockets or divots that appear in everyone’s tonsils. When the trapped dead cells, mucus, and debris harden or calcify, they form white/yellow ball in the tonsil pockets. They usually appear as tiny little chunks in the shape of cauliflower and smell like they could wake up your dead grandma.

The strong unpleasant odor is caused by a build-up of sulfur-producing bacteria that feeds on the tonsil stones collected in the crypts of the tonsils and is a combination of hydrogen sulfide, methyl mercaptan, and other stinky substances that form in it. Tonsil stones can range from a size of a small peppercorn to a rather large size causing discomfort in the throat and in some cases uncomfortable side effects, including sore throat and ear pain and tonsillitis. It is also believed to be one of the reasons for Halitosis (bad breath).

Tonsil-StonesTonsil stones are fairly common in adults and children. However, they tend to occur most often in people who suffer from chronic inflammation in their tonsils or repeated bouts of tonsillitis. Studies have shown that people who have had their tonsils removed, under most circumstances, almost never experience tonsil stones.

There are some effective treatments for reducing the occurrence of tonsil stones. Removing one’s tonsils is an option, but not the best solution as tonsils play a role in the immune system and are meant to function like nets, trapping incoming bacteria and virus particles that are passing through your throat. Easy home treatments like gargling salt water, or non-alcohol mouthwash is often advised for getting rid of tonsiloliths. A water pick that emits powerful pulses of water is also a useful tool for clearing the tonsil crypts. The simplest solution is to use a cotton swab or toothbrush so you can push the nasty little things out and rinse your mouth free of them.
 
Ndugu zangu wana JF.
Nina tatizo kutoka vipande vyenye rangi ya cream kama makohozi yaliyoganda sana kwenye koo. Vinakuwa na ukubwa wa mahare madogo au kunde. Vinatoka kama mara moja baada ya miezi miwili hadi mitatu hivi. Ni kivibonyeza vinabonyea na vina harufu mbaya sana. mara nyingi vinatoka nikiinamisha kichwa nikitaka kutema mate baada ya kujisikia kama kuna kitu kina kwaruza kwenye koo. Nirijaribu kukipeleka siku moja Hospitali ya Tumbi, lakini Daktari hakutambua ni nini? Kuna mtu ana uzoefu wa tatizo hilo? Picha yake ingawa haikutoka vizuri ni hiyo hapo chini. Nifahamishe wana JF. Aksante.

View attachment 267439
Nenda Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili ukapimwe isije kuwa ni Dalili ya ugonjwa mbaya unataka kukuanza.
 
Pole ila uwe unadafisha koo kwa kuweka maji, maji na mapovu ya dawa ya mswaki au mouthwash mdomuni na kutazama juu kwa kuinui kichwa na kisha kufanya kama wachezea maji yaliyo mdomoni ili kutoa sauti kama kutokota kwa maji (watoto hupenda fanya hivyo kuchezea maji) huku wasugua au watikisa koo lako kwa mkono kwa kulipeleka juu chini au kushoto kulia.

Itasaidia saana, nilipata hali kama yako mwaka 2001 mara moja hivyo vibonge vina nuka sana na ndio hufanya kinywa kutoa harufu mbaya sana.
Tafuta hydrogen peroxide kisafisha kinyaa itasaida saana.
 
Ndugu zangu wana JF.
Nina tatizo kutoka vipande vyenye rangi ya cream kama makohozi yaliyoganda sana kwenye koo. Vinakuwa na ukubwa wa mahare madogo au kunde. Vinatoka kama mara moja baada ya miezi miwili hadi mitatu hivi. Ni kivibonyeza vinabonyea na vina harufu mbaya sana. mara nyingi vinatoka nikiinamisha kichwa nikitaka kutema mate baada ya kujisikia kama kuna kitu kina kwaruza kwenye koo. Nirijaribu kukipeleka siku moja Hospitali ya Tumbi, lakini Daktari hakutambua ni nini? Kuna mtu ana uzoefu wa tatizo hilo? Picha yake ingawa haikutoka vizuri ni hiyo hapo chini. Nifahamishe wana JF. Aksante.

View attachment 267439
Kapime, kifua kikuu..!
 
Aisee mimi vinanisumbua sanaaaaa nimeambiwa niminyoo nimekunywa dawa za minyoo mpaka nimechoka sijajua kuwa nikitu gani
Niliambiwa ni kula Sna vykula vya ngano,,inapelekea

Fanya karesearch kadogo, acha ngano kabisa miezi angalau 2, uone
 
Pole saaaana kwa tatizo, binafsi hilo tatizo mwaka jana lilinitokea sana pindi nipo mbeya, nilikuwa asubuhi nikipiga mswaki wakati wa kutema nahisi kihali fulani hivi, nikilazimisha kukohoa basi hivyo vidudu vilikuwa vinatoka, shape yake vilikuwa vya mviringo fulani hivi na size vilikuwa vinatofautiana siku na siku, na nilikuwa nikivibinya vinatoa harufu mbaya saaaana, wataalamu huviita "balls" baada ya kugoogle sana nilikutana na post fulani ambayo ilinisaidia sana kusolve lile tatizo.

In short, kwenye ile post jamaa alizungumzia saana kuhusu tunda pendwa linaloitwa NDIZI, matumizi ya tunda hilo ndilo lilikuwa chanzo pekee cha hilo tatizo (siyo wote wanaokula ndizi wanapata tatizo hilo)

Nilikaa mwezi mmoja bila kula ndizi, na tatizo halikurudia tena hadi leo hii, japo siku hizi ndizi nakula mara moja moja sana na tatizo halijarudia.
 
Ndugu zangu wana JF.
Nina tatizo kutoka vipande vyenye rangi ya cream kama makohozi yaliyoganda sana kwenye koo. Vinakuwa na ukubwa wa mahare madogo au kunde. Vinatoka kama mara moja baada ya miezi miwili hadi mitatu hivi. Ni kivibonyeza vinabonyea na vina harufu mbaya sana. mara nyingi vinatoka nikiinamisha kichwa nikitaka kutema mate baada ya kujisikia kama kuna kitu kina kwaruza kwenye koo. Nirijaribu kukipeleka siku moja Hospitali ya Tumbi, lakini Daktari hakutambua ni nini? Kuna mtu ana uzoefu wa tatizo hilo? Picha yake ingawa haikutoka vizuri ni hiyo hapo chini. Nifahamishe wana JF. Aksante.

View attachment 267439
Mkuu, haraka kafanyiwe uchunguzi isije ikawa baa la Kansa ya Koo, ingawaje hatuombi ifike huko Mkuu.
 
Pole saaaana kwa tatizo, binafsi hilo tatizo mwaka jana lilinitokea sana pindi nipo mbeya, nilikuwa asubuhi nikipiga mswaki wakati wa kutema nahisi kihali fulani hivi, nikilazimisha kukohoa basi hivyo vidudu vilikuwa vinatoka, shape yake vilikuwa vya mviringo fulani hivi na size vilikuwa vinatofautiana siku na siku, na nilikuwa nikivibinya vinatoa harufu mbaya saaaana, wataalamu huviita "balls" baada ya kugoogle sana nilikutana na post fulani ambayo ilinisaidia sana kusolve lile tatizo.

In short, kwenye ile post jamaa alizungumzia saana kuhusu tunda pendwa linaloitwa NDIZI, matumizi ya tunda hilo ndilo lilikuwa chanzo pekee cha hilo tatizo (siyo wote wanaokula ndizi wanapata tatizo hilo)

Nilikaa mwezi mmoja bila kula ndizi, na tatizo halikurudia tena hadi leo hii, japo siku hizi ndizi nakula mara moja moja sana na tatizo halijarudia.
Post ipi mkuu
 
Back
Top Bottom