Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Habari!
Mtu yeyote anayeinadi bidhaa yake either hiyo bidhaa si bora au ina kasoro au uhitaji wake katika jamii yake ni mdogo.
Sina haja ya kujinadi kuwa Mimi ni nani. Kama bidhaa mbele za Mungu najijua Mimi ni bidhaa ya aina gani ndani ya Tanzania hii na ulimwengu.
Ninatoa siku 7 tu kuanzia sasa Tundu Lisu aachiwe.
Kama mpaka saa 5:59 usiku siku ya Jumapili tarehe 20, 2025 Aprili atakuwa bado hajaachiwa nitafunga mlango wa rehema kwa kila aliyehusika katika njama za Lissu kuwa gerezani kwa hila.
Baada ya hapo Lissu atatoka ila watesi wake hatawakuta hapa duniani siku atakayotoka.
Enyi wenye shingo ngumu, mjifunze kwa yaliyopita. Safari hii Mungu hatachelewa, atafanya kwa haraka sana..
Msomaji andika hii tarehe kwenye notebook yako.