Car4Sale Ninauza gari yangu PASSO namba DPD

Safi Sana mkuu
 
Umesahau GTR 5.0 L
Watu wengi humu wanajikweza kuliko uwezo wao, kila mtu anajifanya kumiliki gari nzito nzito, VX, V8, BENZ VANGUARD N.K Lakini ktk uhalisia wengi wao wanagombania daladala mitaani.

Passo sio gari mbaya, kwa pilika za utafutaji mjini
 
Kiongozi ucje jaribu kwa vijana watanganyika hilo wazo lako. Bora ufanye ww mwenyewe.ukishindwa uza gari au tembelea n familia TU. Kwa vijana watanganyika ni ovyo tena narudia ni ovyo kwamwe hawawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…