Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

Kalunde.

Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
24
Reaction score
13
Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
 
Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa namba 0783 477 886. Asante
 
Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.

Tunashukuru kutushirirkisha biashara.
Ili kuwavutia wateja,ingekuwa vizuri ukaweka pia
- Bei elekezi
- Miundombinu kama ipo - maji barabara na umeme
- Picha za eneo kama zipo
- Mawasiliano
 
Kiegeya unapanda mabas mangap had ufike huko kutok mjin
 
Sawa mkuu,barabara ipo,nguzo za umeme tayari, mabomba ya maji yameanza kusambazwa. Natuma picha ya ramani
 
Kiegeya unapanda mabas mangap had ufike huko kutok mjin
Kutokea mjini Ni Basi moja la kwenda Kihonda, unateremkia njia panda ya mwendo kasi, kutoka hapo stedi Ni mwendo wa km 1 na nusu, mara nyingi usafiri wake Ni boda pia waweza fika hata kwa kutembea. Mawasiliano yangu Ni 0783 477 886
 
Kiegeya unapanda mabas mangap had ufike huko kutok mjin
Zipo kiegeya 2 ya mjini na kule kijijin karibu na magubike kule daraja lilipokiwa limekatika

Huyu jamaa anazungumzia ya mjini karibu na kihonda
 
Aweke Bei hadharani, ili tangazo likamilike.
 
Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
Hicho kiwanja Mbona Bei kubwa sana...milioni 27 Mbona nyingi sana mkuu!!!
 
Zipo kiegeya 2 ya mjini na kule kijijin karibu na magubike kule daraja lilipokiwa limekatika

Huyu jamaa anazungumzia ya mjini karibu na kihonda
Nkajua ndo hiyo ya karibu na gairo
 
Hicho kiwanja Mbona Bei kubwa sana...milioni 27 Mbona nyingi sana mkuu!!!
Kwenye tangazo sikuweka bei,nilitegemea muhitaji aingie inbox kwa namba nilizoziweka kwenye tangazo ambazo Ni 0783 477 886,hata hivyo Bei ni Tshs mil 25
 
Yaani Kiegeya hii hii,kiwanja chenye square metres 550 ndiyo milioni 15????

Haupo serious kabisa, Mkundi tu hapo 400M kutoka main road nimenunua kwa 4.6M, kiwanja chenye ukubwa wa 35x35 (Metres)
Mkuu umeambiwa hiki kina msingi tayari
 
Yaani Kiegeya hii hii,kiwanja chenye square metres 550 ndiyo milioni 15????

Haupo serious kabisa, Mkundi tu hapo 400M kutoka main road nimenunua kwa 4.6M, kiwanja chenye ukubwa wa 35x35 (Metres)
Nadhani ungerudi kulisoma vizuri tangazo langu, nimeeleza kuwa kiwanja kina misingi ya nyumba mbili
 
Back
Top Bottom