Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

Kwenye tangazo sikuweka bei,nilitegemea muhitaji aingie inbox kwa namba nilizoziweka kwenye tangazo ambazo Ni 0783 477 886,hata hivyo Bei ni Tshs mil 25
We mwenyewe nafsi ilikusuta juu ya bei hiyo, sh. 25,000,000, na ndio maana ukapata kigugumizi kuweka bei kwenye tangazo. Subiri Mkuu, watakuletea millioni 25.
 
Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
Weka bei MZEE wa kazi.
 
Yaani Kiegeya hii hii,kiwanja chenye square metres 550 ndiyo milioni 15????

Haupo serious kabisa, Mkundi tu hapo 400M kutoka main road nimenunua kwa 4.6M, kiwanja chenye ukubwa wa 35x35 (Metres)
Yes hiyo bei kachemsha
 
Yaani Kiegeya hii hii,kiwanja chenye square metres 550 ndiyo milioni 15????

Haupo serious kabisa, Mkundi tu hapo 400M kutoka main road nimenunua kwa 4.6M, kiwanja chenye ukubwa wa 35x35 (Metres)
Mkuu, japo ni zaidi ya mwaka tangu umepost hii! Lakini nina swali, vipi bado plots zinapatikana maeneo hayo. Nakusudia kuwaandalia mazingira watoto wangu.
 
Kutokea mjini Ni Basi moja la kwenda Kihonda, unateremkia njia panda ya mwendo kasi, kutoka hapo stedi Ni mwendo wa km 1 na nusu, mara nyingi usafiri wake Ni boda pia waweza fika hata kwa kutembea. Mawasiliano yangu Ni 0783 477 886
Morogoro kuna mwendokasi mkuu?
 
Back
Top Bottom