Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
Sawa mkuu,barabara ipo,nguzo za umeme tayari, mabomba ya maji yameanza kusambazwa. Natuma picha ya ramaniTunashukuru kutushirirkisha biashara.
Ili kuwavutia wateja,ingekuwa vizuri ukaweka pia
- Bei elekezi
- Miundombinu kama ipo - maji barabara na umeme
- Picha za eneo kama zipo
- Mawasiliano
Kutokea mjini Ni Basi moja la kwenda Kihonda, unateremkia njia panda ya mwendo kasi, kutoka hapo stedi Ni mwendo wa km 1 na nusu, mara nyingi usafiri wake Ni boda pia waweza fika hata kwa kutembea. Mawasiliano yangu Ni 0783 477 886Kiegeya unapanda mabas mangap had ufike huko kutok mjin
Zipo kiegeya 2 ya mjini na kule kijijin karibu na magubike kule daraja lilipokiwa limekatikaKiegeya unapanda mabas mangap had ufike huko kutok mjin
Aweke Bei hadharani, ili tangazo likamilike.Zipo kiegeya 2 ya mjini na kule kijijin karibu na magubike kule daraja lilipokiwa limekatika
Huyu jamaa anazungumzia ya mjini karibu na kihonda
Hicho kiwanja Mbona Bei kubwa sana...milioni 27 Mbona nyingi sana mkuu!!!Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
Nkajua ndo hiyo ya karibu na gairoZipo kiegeya 2 ya mjini na kule kijijin karibu na magubike kule daraja lilipokiwa limekatika
Huyu jamaa anazungumzia ya mjini karibu na kihonda
Kwenye tangazo sikuweka bei,nilitegemea muhitaji aingie inbox kwa namba nilizoziweka kwenye tangazo ambazo Ni 0783 477 886,hata hivyo Bei ni Tshs mil 25Hicho kiwanja Mbona Bei kubwa sana...milioni 27 Mbona nyingi sana mkuu!!!
Chukua 5m.Samahani ni mil 15 na sio 25
Mkuu umeambiwa hiki kina msingi tayariYaani Kiegeya hii hii,kiwanja chenye square metres 550 ndiyo milioni 15????
Haupo serious kabisa, Mkundi tu hapo 400M kutoka main road nimenunua kwa 4.6M, kiwanja chenye ukubwa wa 35x35 (Metres)
Nadhani ungerudi kulisoma vizuri tangazo langu, nimeeleza kuwa kiwanja kina misingi ya nyumba mbiliYaani Kiegeya hii hii,kiwanja chenye square metres 550 ndiyo milioni 15????
Haupo serious kabisa, Mkundi tu hapo 400M kutoka main road nimenunua kwa 4.6M, kiwanja chenye ukubwa wa 35x35 (Metres)
Mkuu Bei ni mil 15Punguza bei mil 20 nyingi sana hata kama tupo uchumi wa kati
Mkuu hiyo uliyotaja Ni pesa lakini siwezi kuuza kwa Bei hiyo, sio kiwanja pekee tayari nimejenga misingi ya nyumba mbili na septic tankChukua 5m.