Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
We mwenyewe nafsi ilikusuta juu ya bei hiyo, sh. 25,000,000, na ndio maana ukapata kigugumizi kuweka bei kwenye tangazo. Subiri Mkuu, watakuletea millioni 25.Kwenye tangazo sikuweka bei,nilitegemea muhitaji aingie inbox kwa namba nilizoziweka kwenye tangazo ambazo Ni 0783 477 886,hata hivyo Bei ni Tshs mil 25
Ni makosa ya kiuandishi nilirekebisha, Bei ya msingi Ni mil 15We mwenyewe nafsi ilikusuta juu ya bei hiyo, sh. 25,000,000, na ndio maana ukapata kigugumizi kuweka bei kwenye tangazo. Subiri Mkuu, watakuletea millioni 25.
Weka bei MZEE wa kazi.Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
Mwisho kabisa ni ngapi mkuu?Ni makosa ya kiuandishi nilirekebisha, Bei ya msingi Ni mil 15
Mkuu mwisho 13,000,000.00Mwisho kabisa ni ngapi mkuu?
Mkuu bei 15,000,000.00
Ungekubali 8,000,000=,Ningechukua mimi.Mkuu mwisho 13,000,000.00
Ni pesa lakini kwa bei hiyo hapana walau hata ungesogea ikawa 12,000,000Ungekubali 8,000,000=,Ningechukua mimi.
Sawa mkuuNi pesa lakini kwa bei hiyo hapana walau hata ungesogea ikawa 12,000,000
Mkuu tuongee nipigie kwa 0783 477 886Sawa mkuu
Yes hiyo bei kachemshaYaani Kiegeya hii hii,kiwanja chenye square metres 550 ndiyo milioni 15????
Haupo serious kabisa, Mkundi tu hapo 400M kutoka main road nimenunua kwa 4.6M, kiwanja chenye ukubwa wa 35x35 (Metres)
Poa nitakuchekiMkuu tuongee nipigie kwa 0783 477 886
Mkuu, japo ni zaidi ya mwaka tangu umepost hii! Lakini nina swali, vipi bado plots zinapatikana maeneo hayo. Nakusudia kuwaandalia mazingira watoto wangu.Yaani Kiegeya hii hii,kiwanja chenye square metres 550 ndiyo milioni 15????
Haupo serious kabisa, Mkundi tu hapo 400M kutoka main road nimenunua kwa 4.6M, kiwanja chenye ukubwa wa 35x35 (Metres)
Morogoro kuna mwendokasi mkuu?Kutokea mjini Ni Basi moja la kwenda Kihonda, unateremkia njia panda ya mwendo kasi, kutoka hapo stedi Ni mwendo wa km 1 na nusu, mara nyingi usafiri wake Ni boda pia waweza fika hata kwa kutembea. Mawasiliano yangu Ni 0783 477 886
Ya treni (SGR) siyo mabasiMorogoro kuna mwendokasi mkuu?