SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.
Shamba limepimwa na lina hati mkuu, karibu na uwe huru kwenda kujiridhisha popote kwa uhalali kabla ya malipo kufanyika

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu Bagamoyo kipo. Hati, majirani wa shamba, mwenyekiti wa mtaa, watoto wanaosemekena na wa mwenye shamba nk. Wote wapo! Lakini ni FEKI!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu Bagamoyo kipo. Hati, majirani wa shamba, mwenyekiti wa mtaa, watoto wanaosemekena na wa mwenye shamba nk. Wote wapo! Lakini ni FEKI!

Post sent using JamiiForums mobile app
Anyway, unajua huwezi kumjaza mtu imani. Hope wahitaji na waelewa watanielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mashamba yanayouzwa Bagamoyo ni problematic.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mimi kununua shamba Bagamoyo no!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Duuuh...! Mkuu malyenge, kama shamba linakuwa na hati, majirani, mwenyekiti wa mtaa, watoto wa mwenye shamba, nk na bado ukinunua unapigwa.. je, kuna namna ya kufanya ili kama ukinunua uwe salama, yaani usipigwe?
 
Mkuu utapeli haupo bagamoyo pekee, na siyo kwamba bagamoyo hamna mashamba halali ndiyo maana katika suala la kutaka kujiridhisha nipo tiyari kwenda popote Ili uhalali uonekane wazi, iwe polisi ama mahakamani mimi sioni shida kwa kuwa hii ni Mali yangu halali na sijawahi kuuzia mtu yoyote kabla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni PM tuongee bei halisi ya kuuza mkuu.
 
Hayo maeneo ni hatari sana watu wamepigwa hasa kidomole yote mpaka fukayose

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha mbali aise miaka iliyopita ilibaki kidogo nitapeliwe huko bagamoyo ila nashukuru nikaelekea pande za kiwangwa nikafanikiwa kupata napo matapeli wanapatikana pia jambo la msingi ni kuwa makini sana.
 
Anyway, unajua huwezi kumjaza mtu imani. Hope wahitaji na waelewa watanielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani Mkuu Hayo mashamba ni yale yaliyochukuliwa na kanisa la KKKT kule fukayosi maana nilifika huko miaka ya nyuma aise ila utapata mteja hakuna tatizo Ndugu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…