SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.
Kweli sahv pesa zimejichimbia Eka 2 kwa 3mln na mpka sasa hajatokea mtu!

Ova
 
Mkuu nilichosema ni kwamba eneo linafaa kwa kilimo cha nanasi pia, pia siyo kweli umepitishwa maeneo yote panapolimwa nanasi na hujakuta hata sehemu moja haiuzwi kwa kuwa ninawafahamu watu wengi wanaouza maeneo hata yakiwa tiyari yameshaoteshwa nanasi tiyari.

Usijaribu kupotosha umma kwa findings zako za uongo boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba usibishane nae mkuu...Mimi nipo mwanza ila ratiba zimebana ningekutafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom