Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shamba halina tatizo na utaratibu wangu wale walio serious nawasiliana nao PM bila shida mkuuMkuu,
Weka namba yako ya Simu siyo kuweka pm maana, kuiweka hapa namba inasaidia kuonesha kuwa kweli uko makini na uwanja huo hauna tatizo.
Shamba halina tatizo na utaratibu wangu wale walio serious nawasiliana nao PM bila shida mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangaza sasa nyumba,viwanja ,mashamba,majengo kupitia www.shushabei.comHabari wakuu.
Nina shamba langu nauza, lipo bagamoyo kijiji cha fukayosi.
Ni takriban kilomita 18 kutokea bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba.
Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote.
Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa na barabara zinapitika majira yote.
Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.
Bei ni Shilingi Milioni tatu (3),pungufu tunazungumza.
Tunaweza kuwasiliana kupitia PM Kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.
Kwa wahitaji karibuni sana.
Shukran bossTangaza sasa nyumba,viwanja ,mashamba,majengo kupitia www.shushabei.com