SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

SOLD: Ninauza shamba langu Bagamoyo (Fukayosi)

Status
Not open for further replies.
Habari wakuu.

Nina shamba langu nauza, lipo bagamoyo kijiji cha fukayosi.

Ni takriban kilomita 18 kutokea bagamoyo mjini mpaka lilipo shamba.

Shamba limepimwa, lina hati, limezungushiwa kingo pande zote na halina mgogoro wowote.

Gari inafika mpaka shamba maana eneo limepangiliwa na barabara zinapitika majira yote.


Ukubwa wa shamba ni hekari mbili.
Shamba halina dalali kwani mimi ndie muuzaji na mmiliki.

Bei ni Shilingi Milioni tatu (3),pungufu tunazungumza.

Tunaweza kuwasiliana kupitia PM Kwa aliye tiyari pia kwa utaratibu wa kuliona shamba na kujiridhisha.

Kwa wahitaji karibuni sana.




NYONGEZA!


[quote uid=21139 name="Shark" post=23279949]Pengine kuna details ungeongezea zaidi,

- Je Limesafishwa??

- Kutoka Lami hadi shamba ni Umbali gani?

- Linalimika mazao gani??



Reply

- Asaante Mkuu .


Ukipitia mjadala mzima hakuna nilichokificha!Ila siyo mbaya nitajibu tena.



Shamba ni Safi nilishalisafisha , hamna miti wala visiki zaidi ya majani ya kawaida tu.

Kutoka lami mpaka lilipo Shamba hesabu Km 8.

Nanasi huku ndio penyewe .


Shamba lina beacon pande zote kwa ajili ya mpaka.

Nimeridhika na kila kitu ila tangazo la kwanza umeandika km 18, na hapa juu umeandika Km.8 hebu sahihisha tuzungumze










 
Kilomita 8 baada ya kuacha barabara la lami, karibu mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom