Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mrangoo/mjanjaa kwa kikwetuEneo lipo
Hivi hii tabia gani ya kurudia neno moja mara nyingi kiasi hiki?????Eneo lipo
Eneo lipo bado
Eneo lipo
Eneo lipo
Eneo lipo
Mkuu mbona unaumia sana mimi kutangaza biashara yangu? Unataka kila siku nifungue uzi mpya badala ya ku update? Au basi kama sijapata mteja nikae kimya? Acha hizo ndugu, Inaelekea una roho ya kwanini wewe!Hivi hii tabia gani ya kurudia neno moja mara nyingi kiasi hiki?????
Utakua umevurugwa kisa hujauza shamba wewe ....aliyekwambia me nnachuki na wewe ni naniMkuu mbona unaumia sana mimi kutangaza biashara yangu? Unataka kila siku nifungue uzi mpya badala ya ku update? Au basi kama sijapata mteja nikae kimya? Acha hizo ndugu, Inaelekea una roho ya kwanini wewe!
Kila mtu apambane na akili yake mkuu
Acha ujinga wako kwa kuwa hamna aliyekuleta kwenye huu uzi, kama nakiuka kanuni za JF mods watasema. Ficha matope yako yaliyokujaa kichwani, mumeo ana hasara sanaUtakua umevurugwa kisa hujauza shamba wewe ....aliyekwambia me nnachuki na wewe ni nani
Ndo maana shamba haliuziki kwa sababu muuzaji wewe ni kilazaAcha ujinga wako kwa kuwa hamna aliyekuleta kwenye huu uzi, kama nakiuka kanuni za JF mods watasema. Ficha matope yako yaliyokujaa kichwani, mumeo ana hasara sana