Plot4Sale Ninauza viwanja Maeneo ya Mwanza

Gumasa

Member
Joined
May 10, 2023
Posts
32
Reaction score
32
Habari wana JF

Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa ajili ya viwanja vya makazi.Maeneo haya siyo mali yangu binafsi,isipokuwa nimeaminiwa na kupewa jukumu la kuuza na mhusika.

Viwanja vilivyopo kwa sasa ni maeneo ndani ya kata ya Kishili( ilikatwa kutoka kata ya Igoma),tuna viwanja katika mitaa yote ya kata hiyo.Kisesa maeneo karibu na chuo cha Mipango Km 1.5-Km 2 kutoka kwenye barabara kuu ya Mwanza Musoma.Maeneo ya Sahwa ya juu/barabara ya buhongwa kishili. Hii ni barabara ambayo ujenzi wake unaendelea kwa kiwango cha lami mpaka muda huu.

Ukataji wa viwanja umezingatia miundombinu mhimu ya barabara na umesimamiwa vyema chini ya upimaji shirikishi unaotambulika na mamlaka.

Viwanja vimekatwa kwa ukubwa wa Mita 20×20,25×25,30×25 n.k

Kwa wale wanaohitaji maeneo makubwa zaidi unaweza kupata pia au unaunganisha viwanja kadhaa unapata hitaji lako.

Bei zetu bado ni rafiki sana kulingana na ukubwa wa kiwanja na eneo kilipo.Bei kwa kiwanja kimoja ina range 2m -4m.

Karibuni sana wadau wote na wahitaji na hata ukitaka kutafutiwa eneo fulani napo inawezekana.
Uaminifu wetu ni asilimia 100 kabisa.

Kwa mawasiliano na mauliza piga hapa 0684288417.
 
Habari wana JF.

Kwa mawasiliano na mauliza piga hapa 0684288417

viwanja vimepimwa?
 
Kuna mtu hapa anatafutwa kupigwa na kitu kizito chenye ncha kali utosini na atapatikana tu.
 
Pole sana,watu wasio na uwezo wa kifedha kwa ajili ya maendeleo yao mara nyingi hufikri negativity tu.Wewe unafikri watu wote wanaonunua na kujenga wanaibiwa?? Pambana na maisha na daima usifikri zaidi mambo yasiyo mema kwenye jamii.Ukiulizwa ni kipi unachokiona cha utapeli hapo utakoswa jibu.
 
Tulia weweee acha porojo jamvin. Panua wigo mpana.
 
Habari wana JF

Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa ajili ya viwanja vya makazi.Maeneo haya siyo mali yangu binafsi,isipokuwa nimeaminiwa na kupewa jukumu la kuuza na mhusika.

Viwanja vilivyopo kwa sasa ni maeneo ndani ya kata ya Kishili( ilikatwa kutoka kata ya Igoma),tuna viwanja katika mitaa yote ya kata hiyo.Kisesa maeneo karibu na chuo cha Mipango Km 1.5-Km 2 kutoka kwenye barabara kuu ya Mwanza Musoma.Maeneo ya Sahwa ya juu/barabara ya buhongwa kishili. Hii ni barabara ambayo ujenzi wake unaendelea kwa kiwango cha lami mpaka muda huu.

Ukataji wa viwanja umezingatia miundombinu mhimu ya barabara na umesimamiwa vyema chini ya upimaji shirikishi unaotambulika na mamlaka.

Viwanja vimekatwa kwa ukubwa wa Mita 20×20,25×25,30×25 n.k

Kwa wale wanaohitaji maeneo makubwa zaidi unaweza kupata pia au unaunganisha viwanja kadhaa unapata hitaji lako.

Bei zetu bado ni rafiki sana kulingana na ukubwa wa kiwanja na eneo kilipo.Bei kwa kiwanja kimoja ina range 2m -4m.

Karibuni sana wadau wote na wahitaji na hata ukitaka kutafutiwa eneo fulani napo inawezekana.
Uaminifu wetu ni asilimia 100 kabisa.

Kwa mawasiliano na mauliza piga hapa 0684288417.

Una kiwanja maeneo ya mwamanyil?
 
Back
Top Bottom