Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Aug 30, 2024 #21 Anthony horowitz said: Madam hivi buhongwa na busweru wapi pako hot? Click to expand... Wapi hot kwakweli sijui, sipo Mwanza kitambo....ila mie napendaga hii barabara ya buhongwa kuliko buswelu
Anthony horowitz said: Madam hivi buhongwa na busweru wapi pako hot? Click to expand... Wapi hot kwakweli sijui, sipo Mwanza kitambo....ila mie napendaga hii barabara ya buhongwa kuliko buswelu
A Anthony horowitz JF-Expert Member Joined May 4, 2024 Posts 421 Reaction score 1,042 Aug 30, 2024 #22 Evelyn Salt said: Wapi hot kwakweli sijui, sipo Mwanza kitambo....ila mie napendaga hii barabara ya buhongwa kuliko buswelu Click to expand... Asante, Nita patizama hapo buhongwa kwa makini.
Evelyn Salt said: Wapi hot kwakweli sijui, sipo Mwanza kitambo....ila mie napendaga hii barabara ya buhongwa kuliko buswelu Click to expand... Asante, Nita patizama hapo buhongwa kwa makini.
Gumasa Member Joined May 10, 2023 Posts 32 Reaction score 32 Aug 30, 2024 Thread starter #23 Mwamanyili,kisesa vipo Chakula Kibaya said: Una kiwanja maeneo ya mw Click to expand... Evelyn Salt said: Wapi hot kwakweli sijui, sipo Mwanza kitambo....ila mie napendaga hii barabara ya buhongwa kuliko buswelu Click to expand... Barabara ya Igoma buhongwa via Kishili vipo viwanja vingi,anzia hapo kanindo mpaka eneo la sawha unapata kiwanja
Mwamanyili,kisesa vipo Chakula Kibaya said: Una kiwanja maeneo ya mw Click to expand... Evelyn Salt said: Wapi hot kwakweli sijui, sipo Mwanza kitambo....ila mie napendaga hii barabara ya buhongwa kuliko buswelu Click to expand... Barabara ya Igoma buhongwa via Kishili vipo viwanja vingi,anzia hapo kanindo mpaka eneo la sawha unapata kiwanja
Chakula Kibaya JF-Expert Member Joined Sep 19, 2022 Posts 689 Reaction score 1,562 Aug 30, 2024 #24 Gumasa said: Mwamanyili,kisesa vipo Barabara ya Igoma buhongwa via Kishili vipo viwanja vingi,anzia hapo kanindo mpaka eneo la sawha unapata kiwanja Click to expand... Nitakutafuta
Gumasa said: Mwamanyili,kisesa vipo Barabara ya Igoma buhongwa via Kishili vipo viwanja vingi,anzia hapo kanindo mpaka eneo la sawha unapata kiwanja Click to expand... Nitakutafuta
Gumasa Member Joined May 10, 2023 Posts 32 Reaction score 32 Aug 30, 2024 Thread starter #25 Chakula Kibaya said: Nitakutafuta Click to expand... Karibu sana ndugu yangu!