Ninavutiwa na mpangilio wa Nyumba hii

Hapo kwenye kuvuka corridor ndo uingie dinning ndo pameharibu,ilikuwa either hiki chumba kilichopo upande wa kushoto mwa sebule kiwe ndo dinning kirandane na jiko kisha hiko chumba kikakae ilipo dinning kwenye ramani yako.

Though siyo msanifu majengo naweza kosolewa.
 
Labda kama hutaki kutembelewa na wageni kutoka mikoani ambao wenye uwezekano wa kulala kwako
Mkuu tatizo ni uwezo, kibongo bongo kutokana na uchumi wa mtu mmoja mmoja kutoruhusu kumiliki nyumba kubwa wengi wamechagua style hii ya ujenzi, master bedroom chumba cha watoto wa kike na chumba cha watoto wa kiume bora familia yake ijisitiri ila kama mtu uwezo unao siyo mbaya nyumba yako kuwa na vyumba kuanzia vitano+ ili kukamilisha mahitaji yote.
 
Yani mtu anajenga ukumbi wa kukaa na ukumbi wa kulia cjakula alafu anasema nyumba za kimasikini anashindwa kujenga vyumba vinne.

Dining room unaiondoa kama kweli masikini unapata vyumba vinne.

Ukumbi wa kukaa ndio huo huo utakuwa ukumbi wa kulia.
 
Mimi naamini kuwa na nyumba yenye vyumba vingi inasababisha kuvutia wategemezi wasio wa lazima.

Vyumba vitatu vinatosha kwa familia standard. Kisha nje unajenge servant house ya vyumba vili vyote self.
Hapo ukipata mgen analala uko.
 
Mkuu mi naona pako sahihi kabisa chumba cha watoto wa kiume na wakike viwe na distance kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…