Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Dada nimekukubali sana hebu saidia hili liishe naamini lipo ndani ya uwezo wako maana i’m trying to do this on my own and it’s a bigger job than i ever imagined, tuunganishe nguvu nimbebe jumla cute wife
Limeisha hili shem
 
Shemeji yetu Countrywide ndio mwenyewe sasa,Kijana mjanja from Chugastan...Mimi Kama mweka hazina nasemajeeee Ni Nyama choma na bia mpaka watu wabebe.....X-shemeji NALIA NGWENA atusamehe bure[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asante kiti kwa kufika shemeji tunaye country oyeeee
 
Kama unaangia our story yule rahmet atakuwa na undugu na mleta mada mana yeye hapatani kabisa na wasichana watulivu
Wasichana wakimya sifa zao;
1. Anaongea ukimsemesha tu
2. Kila siku lazima umtongoze ndio ule mzigo
3. Akikolea anaguna mmmh kama kondoo🤣
 
Habari za leo wana chit-chat wenzangu.
Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata.

Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine.
Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya- ninavutiwa sana na wanawake micharuko yaani wacheshi na wenye mioyo wazi.

Sababu kuu ya kuwapenda hawa viumbe ni kwamba:

1. Hawana kisirani sawa na wakimya

2. Hawatunzi mabaya mioyoni mwao ukimkosea anakufungukia na mechi zinaendekea

3. Ikiwa mlikosana mkarekebisha yaani unapewa mechi tamu sio ya dunia hii huku akikwambia Benaya- my love usinikosee tena ee😅😅

4. Hawa viumbe wana uwezo wa kukufanya mwanaume mwenye furaha majira yote😘😘

5. Ukimpelekea moto vizuri yaani wanaipokea kwa mbwembwe na vifijo balaa.

Ukimkoleza akakolea utasikia lamasabakitani kakalakaka babaaa yaani fujo fujo tuuu😘😘😘🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wanawake micharuko mna mbingu yenu ninawapenda sana.

Cute Wife wewe ni mmoja wao lkn achana na vichaa😁😁
Sijawahi ku-comment nyuzi za hovyo, ila huu niko pamoja na wewe mpaka mpaka siku mkataba wa bandari urakapoisha.

Wanawake wa aina hiyo, wana pepo yao ya kipekee sana 🥰🥰🥰
 
[emoji23][emoji23][emoji1787]
Eeenh bwana watazoeana tu uko mbele kwa mbele [emoji23] si unajua hata kama hampendani kitendo cha kuwa karibu kila siku basi mnajikuta mnapendana tu
 
Back
Top Bottom