Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Nikikukabidhi wenye nchi watanifurusha halafu na ww utanikimbia!

[emoji23][emoji23][emoji23] wananchi hawana tatizo labda lile toto lako jeuri mwanajeshi, tena chunguza vizuri sio wa idd Dada mbona wanafanana tabia na roho mbaya na kupenda vita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umetisha mzee vitu vya Germany
Bas na mimi nitungulie crop top na uduguu wangu cocastic naye kinjunga
Amebugi, suits bora zinatoka France, Turkey, Spain nk.
Germany hawana lolote kwa mavazi
 
Wewe ni pure mapepe🤣
Yes sijakuambia siku ile nilipokwenda kwenu tukamkuta baba njema anasoma gazeti tukamsalimia ukaniambia ngoja unilitee juice umeenda tu nilimpa mshua wako namba tukayamaliza next day hujashangaa tokea siku hiyo mzee alikuwa anakupenda sana nakukuona wa maana maana nilimpa vizuri hata yule best yako kipenzi naye hivyo maana wewe hunaga nguvu za kiume
 
Unajibaraguuuza🤣🤣🤣🤣
Sitembeagi na vizee kama wewe🤣
 
Kwani we umemuwahi Nani Katika hiyo mi mcharuko uliyoitaja🤣🤣🤣🤣maana hapo karibu yote Ina machaka yake
Mwenye shoka kali ndiye mmiliki wa chaka, nitajaribu hata kwako siogopi ujue😁
 
Back
Top Bottom