Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

ah eti mnadai mmewakamata CDM pabaya..... bado UKWELI UTAFAHAMIKA TUUUU!
 
Kama ungekuwa unaelewa ni nini maana ya mapambano ya kisiasa sidhani kama ungelalamika kuwa Dr Slaa anamkana Ludo hivi sasa.

Hivi, kumwekea mawakili wote hao huoni kuwa ni namna fulani ya 'kukubali kumfahamu' bila ya kusema moja kwa moja kuwa wanamfahamu? Kijana, ebu pevuka kidogo
 
Iwapo anahusika kweli na vitendo vya kijasusi na kigaidi kama inavyotuhumiwa, basi yaweza kuwa makubaliano ya awali ni kuwa chama kitamruka akikamatwa kwa lolote
Pelekeni polisi hizo allegations zenu.
 
Mh. Zitto alimkana Ben Saanane ikagundulika anamfahamu vizuri na Dr. Slaa amemkana Ludovick, inavyoonekana pia anamfahamu vizuri sana.

Is it coincidence kwa viongozi wa CHADEMA au ndiyo diffensive mechanism iliyopo pindi wanapokuwa ambushed au pre-empted with technical questions kuhusiasa na insurrection/desperadoism
 
Mimi nadhani mawakili wanaomtetea LWAKATARE ndio hao watamtetea LUDO
 
Mkuu Mtela Mwampamba

Nimekusoma vyema lakini kuna sehemu ya maandishi yako nashindwa kuelewa unataka nini haswaaaa.

Umefurahia Ludovick Rwezaura masahibu yanayomkuta kwasababu ya kushiriki kumfuza Baba yako CDM !,umefurahi kwasababu alishiriki kuusambaratisha mtandao wenu BAVICHA ! Umesikitika kwakuwa Dr Slaa kamruka ! Umefurahi kwakuwa dhambi ya utekaji, utesaji sasa imehamia CDM kutokana na ushiriki wa Ludovick na Rwakatare!.
 
ahaaa!kumbe huyu ndiye mliyemtuma akamrekodi lwakatare,then ninyi gambaz mkaja kumalizia kuweka kale katechnolojia ka "bad lip" !uzuri mmoja itv,star tv,chanel ten,tbccm daily huwa wanarusha tamthilia ambazo waigizaji wanakuwa wanazungumza lugha yao,lakini sisi tunawekewa kiingereza.i mean wanabadili lugha according to walaji.sasa msituone waTZ ni mapimbi na hatuelewi kamchezo kenu mnachomfanyia lwakatare
 
Utata wa tape ukishamalizwa,then chadema watajuwa cha kufanya.You know what side of the court the ball is...
 
Kwa kuwa tukio lenyewe lipo katika mchakato wa kimahamakama sitalizungumza bali nitazungumza nje ya Wigo wa kesi hiyo ili nisiingilie hatua za kimahakama na nisivunje sheria za nchi.

Still bado utakuwa ni mmoja ya watu wazuri wa kuisadia polisi na hata kutoa ushahidi mahakamani.

Naamini bado polisi wanafanya uchunguzi wao na watakuhitaji kuchukua maelezo yako.
 
..................................Kwanini wasigawanywe hawa au wote katika hawa hawamtetei LUDO..? ama kama si hawa kwanini hawatafutwi mawakili wengine kwa ajili ya LUDO na badala yake akaachwa anaangamia pamoja na kujitolea kote kuijenga na kuitetea Chadema, pamoja na utiifu wote wa kuwalinda na kutunza siri za viongozi na siri za Chama hicho.
......................................
Ludo aliyekusaliti na kusababisha hadi baba yako mzazi afukuzwe ndo huyo leo unamtetea apate wakili?????
hapana, wakati mnafanya propaganda tumieni hata robo tu ya akili mlizojaliwa nazo.
 
Now dots are connected. Kumbe wote lao ni moja. Ama kweli subira yavuta heri. Kumbe Serikali ingekimbilia kumkamata Slaa kwa uchochezi na uhaini hasa pale alipodai kuwa UWT wanaripoti kwake, tusingeyajua haya yote. Aluta continua dhidi ya magaidi wanaojificha nyuma ya mgongo wa siasa.

Kwa mwenendu huu..washauri wa Babu wamwambie atumie ile hati yake nyingine ya kusafiria na azuge kama anakwenda kuhudhuria Inaugration ya Papa Francis..kumbe ndio kimoja.

Maana haijuilikani LUDO ataieleza kiti gani kumu implicate Dr wetu wa ukweli. Wewe unaambiwa mtu ameshawahi mpaka kuwa Mlinzi wake Binafsi...unategemea nini sasa!

...Maskini weeeeeee!
 
Sijapata kuona jitu jnga namna hii.

Yaani kama hawa ndio dizaini ya walimu wanaofundisha watoto wetu, basi hii ndio sababu kubwa ya zile 60% za nekta.
 
Kama ulikuwa unamjua ni under cover informer mbona haukumlipua mapema?umesubiri apatwe na matatizo ndio unaropoka!? Tunakuamini vipi wakati kila kukicha unamchafua Dr slaa mitandaoni? Kwa nini wewe na babayako mfukuzwe chadema,je mna kasoro gani? Vipi mamako bado ni diwani wa kuteuliwa au na yeye kashafukuzwa? Ndugu yangu wewe sio wakuaminika tena mbele ya jamii simply because you are kigeu geu.
 
Mwambapa umepoteza na unaendelea kupoteza hata huko ccm maana unaonekana huna jipya na ni msaliliti unayetafuta kutoka kupitia kuua tumaini la watanzania. Potea zako.
 
Mtela kwa sasa huwezi kuaminika kwa lolote hata kama unasema ukweli. Halafu inavyoonesha bado Mwanachadema wewe hata kama uko ssiem ila bifu lako ni kwa katibu Mkuu Dr. Slaa. Nikuombe kitu kimoja, usikae katika chama usichokipenda kwa moyo wako wote. Maana post zako zote zinaweza zisiwe na neno la chadema ndani lakini slaa lazima umtaje inakuwaje? Kweli Dr huyu alikudhibiti ipasavyo. Mutu yeyote anayekushika penyewe siku zote huwezi kumsahau. Long life wapendwa wa CDM.
 
Mwambapa Ugonile malafyale!
Uliyoongea ni kweli kabisa. Kijana katumika kama vile mtu anavyokula muwa ukiisha utamu unatupwa na kusahau palepale.
Huyu kijana aliweza kudivert emails zangu na kuzipeleka kwa Slaa. kijana alikuwa mtiifu sana lakini wanaogopa wakimkubali tu watakuwa wamekwisha.
Kesho usishangae wakamkana Ben Saa nane kuwa hawamfahamu mara atakapoamua kuimba
 
Mkuu Mtela Mwampamba

Nimekusoma vyema lakini kuna sehemu ya maandishi yako nashindwa kuelewa unataka nini haswaaaa.Umefurahia Ludovick Rwezaura masahibu yanayomkuta kwasababu ya kushiriki kumfuza Baba yako CDM !,umefurahi kwasababu alishiriki kuusambaratisha mtandao wenu BAVICHA ! ,umesikitika kwakuwa Dr Slaa kamruka !,umefurahi kwakuwa dhambi ya utekaji,utesaji sasa imehamia CDM kutokana na ushiriki wa Ludovick na Rwakatare !.
mkuu tumegongana mawazo. loh!
propaganda kupewa watu wasiotumia akili ni tatizo kwa chama.
 
Back
Top Bottom