Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Hii kesi mashahidi wengi sana maana naona kila mtu ana maelezo yake kuhusu hili swala.....
 
Wewe si mtu sahihi wa kuleta maelezo yanayohusiana na CHADEMA, DR. SLAA au viongozi wengine wa CHADEMA kwa sababu huaminiki na pia una chuki binafsi na CHADEMA na viongozi wake. Tunahitaji taarifa ya mtu mwingine kuweza kufikiria kama unachokisema ni kweli au la maana tayari kuna mengi, tangu utoke CHADEMA umeyasema kwa chuki kwa nia ya kujipendekeza CCM. Umekosa credibility!! Mtu kigeugeu, asiyeaminika, hata taarifa yake haiwezi kuaminika.

Nilitaka kuchangia, mara baada ya kusoma uzi wako huu nimeahirisha, Mwampamba hana Udhu wa kusema haya aliyasema cause haaminiki!
 
Usaliti ni neno pana sana linamadhara mengi sana.hujuma uliyowafanyia wanambozi magharibi kamwe haitasahaulika. Hujuma uliyoifanya iliwakwamisha wanambozi kupata jimbo. Tamaa zako zilizaa usaliti ukakwapua vijisenti kutoka kwa mh zambi ukasababisha chama kikakosa jimbo.usaliti wako uliwaletea wanambozi maumivu kwa kupigwa mabomu na polisi pale walipokuchaguwa na wewe ukawasaliti kwa vipande vya fedha wakiamini kuwa umeonewa kumbe umechukuwa chako mapema.daima kwapukwapu huwa hapendi kukwapuliwa na mara zote huamini kuwa kwa sababu yeye ni kwapukwapu basi wote wako hivyo hivyo.
 
Jinsi ulivyoanza kutafsiri usaliti....je unajijua nawe ni msaliti? uliyoyaandika hayana maana kwetu, yanafuta mema yote ulifanya CHADEMA, maana tuligundua kwamba ulikuwa Unaisaliti CHADEMA hata kabla haujafukuzwa, Ulipandikizwa na CCM kwa maslahi yao....kwa namna moja ama nyingine umerudi CCM kwa kazi ya Kuiharibu CHADEMA. Unafahamu mipango mingi inayopikwa na CCM ili kuichafua CHADEMA nawe ni mmoja wa walio jikoni kuipika. Tutakuhitaji kwa ushahidi hivi karibuni na hata baadae baada ya kupakua mipango yenu mingine mnayoendelea kuitaja.

So kaa tayari..
 
Kwani ukiwa mwanachama wa chadema lazima upate cheo?

Sio lazima, ila viongozi wa CHADEMA ndio wanaotegemewa kushika Dola au kuongoza Serikali siku moja, baada ya kuwang'oa CCM ambao watu wengi wametuchosha pamoja na mambo mengine vyeo vya kupeana kindugu na kifamilia!
 
Ninajiuliza sana ni nani alirekodi ile filamu ya Lwax....kutoka Version yangu,ninaweza kumtetea Lwax kwamba hakujua kabisa kwamba anarekodiwa.

ILA,Lazima aliyemrekodi Lwax ni mtu anayeaminika sana na Lwax.
Inaonyesha huyu mtu ali be "WIRED"
Na ile sauti ya mwanzo ilisema "Mic",ilitoka kwa mtu aliyekuwa anamrekodi Lwax mle ndani.....Hapa inaonyesha huyu mtu alikuwa anawataarifu watu walio nje(walio mu "WIRE" wanaochukua mawasiliano kati yake na Lwax,hivyo alikuwa anataka waanze kurekodi huko nje,ndio maana akasema "Mic" katika namna ya Kijanja ambayo Lwax hakuelewa,akidhania mtu anayemrekodi kaongea neno kwake,ndio maana akajibu "Mmmmh"?Lakini kwa sababu aliyekuwa akimrekodi Lwax humu ndani hakuwa anamwambia Lwax lile neno,akayeyusha na kuendelea kusikiliza anachoambiwa na Lwax,huku akiendelea kurekodi kwa camera either iliyokuwa kwenye mfuko wa shati,ama miwani,ama somewhere begani......Angalia wakati analisema lile neno "Mic" alijifanya kama anaokota kitu chini ili kuleta kelele kidogo ili aliseme lile neno na wale wali mu "WIRE" kule nje walipate huku Lwax awe hajamstukia.

Sasa Swali hapa....Ni NANI ALIMCHUKUA PICHA LWAX?.....Sponsor wake namjua.
Hii ni JF bwana...kila mtu kawa Mwandishi,Mpelelezi,Mwanasiasa,Mpayukaji...

Wanasema Ngoma Inogile...
Bado Shonza naye hajaja na namna anavyomjua Ludovick
 
halafu akitoka jela,waende nae CCM,mwanaume gani wewe mwampamba huna siri?

Kijana anaonekana hajafundwa akafundika ma ndio maana anatoa mambo ya ndani huku jamvini. Duh! anahitaji maombi ngoja niwasiliane na MZEE WA UPAKO.
 
kitu nilichogundua ni kuwa chadema kinapendwa na watu wengi sana na tena ni wa rika zote,njia iliyobaki ya kuiua chadema ni moja nayo ni kuifuta nchi inayoitwa tanzania kwenye ramani ya dunia,hata waasisi hawawezi kuiua chadema,sera na falsafa ya chadema iliyoingia kwenye vichwa vya watu walio wengi si rahisi kuifuta.
 
Kweli, hiki ni kilio chako kikubwa (cha usaliti) kama ulivyoainisha. Tazama tu usivunje sheria kuelezea mengineyo kwani jambo lipo mahakamani.
 
Mwambapa Ugonile malafyale!
Uliyoongea ni kweli kabisa. Kijana katumika kama vile mtu anavyokula muwa ukiisha utamu unatupwa na kusahau palepale. Huyu kijana aliweza kudivert emails zangu na kuzipeleka kwa Slaa. kijana alikuwa mtiifu sana lakini wanaogopa wakimkubali tu watakuwa wamekwisha. Kesho usishangae wakamkana Ben Saa nane kuwa hawamfahamu mara atakapoamua kuimba

Ulishtukiwa nawe ulikuwa mamluki, afadhali ulienda CCM asee. ...yaaani hatuwapendi watu kama nyie mnanyenyekea CCM sijui wamewahaidi kuwapunguzia kodi?
 
Mbowe, Slaa,kwa nini lakin?mna matatizo gani?chama kimewashinda,modulators tunapost,tunatoa maoni huru kama changamoto,matokeo post zinafutwa,ukweli Mbowe si kiongozi na Slaa si kiongozi,sababu ni nyingi,modulators wawe fair,hata kama wao ni chadema,wengine tunajenga hatuna chama,tuishi kwa uadilifu,hata uwe na lipi hakuna jipya hapa dunian,mbowe,slaa please,mnaivuruga chadema,modulators na nyie kuweni fair,post zangu zaid ya 3 nikieleza udhaifu wa mbowe na slaa mnazifuta,sio fair,cjatukana ni hoja,acheni ushabiki,tujenge nchi.
 
Kanuni zipi? Kimeishanuka tayari hakuna siri tena
Chris Lukosi, kwa kuwa uko hapa kama verified user, naomba nikuulize a hypothetical question...unao uhuru wa kujibu ama kutojibu.
Hivi Chadema kusambaratika leo na kutoweka kabisa katika medani ya siasa Tanzania, je kutawezesha;

  • Maisha bora kwa Watanzania kupatikana?
  • Madawa kupatikana mahospitalini?
  • Waalimu na madawati kupatikana mashuleni?
  • Ufisadi na wizi kukomeshwa serikalini?
  • Utapanyaji wa mali za asili kumalizwa nchini?
  • Utiaji saini wa mikataba mibovu kusitishwa?
  • Utawala bora unaotoa haki kuimarika?
  • Viongozi waliotanguliza rushwa kutokomezwa?
  • Matatizo lukuki yanayowakabili Watanzania kutatuliwa?
Nimeyaita haya hypothetical questions kwa sababu moja tu, najua Chadema haifi, imevuka ile threshhold ya kusambaratika...lakini hata kama hilo lingewezekana, mwamko wa mwananchi hauwezi kuzimwa hata kwa kutumia mtutu wa bunduki. Hivi sasa naamini kwa dhati kuwa Chadema ni zaidi ya viongozi wake, Chadema ni zaidi ya wabunge wake na Chadema ni zaidi ya wanachama wake moja moja...Chadema is a movement and is much more than anything else in its physical form.
 
Last edited by a moderator:
It's SHOCKING.

Watu wengi na viongozi wa CHADEMA hawakutegemea kama mashitaka kwa Lwakatare na Ludovick hayatahusu Absolom Kibanda.

Hili la kutaka kufanya ughaidi kwa Denis Msaki imekuwa ni shitaka la kushitukiza mpaka viongozi wa CHADEMA wanashinda jinsi ya ku-approach swala zima. It's delicate, wakiteleza kidogo wanaweza kujikuta wanaanguka ndani ya dimbwi wa mashitaka. Siyo ajabu hata majibu sahihi wanakosa.

Kudanganya siyo kazi rahisi kama wengi wanavyofikiria.
 
Mwambapa kweli ulikwenda UDSM lakini haujui kuandika course uliyochukua? (BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION “BAED”) Kwanini haukusema haya kabla la hili na una uhakika gani Ludovick ameshiriki? Kutoka na maelezo yako, inaonyesha Wewe na Shoza mmeshiriki katika mpango huu mchafu, Je mmelipwa kiasi gani?

Katika ile Clip ya Lwakatare kuna sauti ya Binti hivi siyo Shonza huyo??? Itabidi hawa "Magaidi" Watueleze ni sauti ya nani kama hamjaanza kukimbia nchi.
Mungu Ibariki Afrika
Mungu Ibariki Tanzania
 
kama ungeleta hizi taarifa ukiwa bado mwanachama mtiifu ndani ya chadema zingeweza kupewa uzito flani, ila kwakua ulishanunuliwa na magamba ni vigumu kuaminika, maana inawezekana ni muendelezo wa hujuma zako dhidi ya chadema
 
inaonekana bado unaipenda sana CDM, ningekuwa mimi ningefanya mambo mawili 1. ningerudi kukipigia magoti chama yaishe nirudi kuchapa kazi au 2. ningekaa kimya.

kuhusu LOD, kwa kuwa wewe na yeye mnajuana vizuri tena rafiki wa karibu wa miaka mingi ni vema basi huu ushahidi wako ukaueleze mbele ya mahakama, hapa JF hakuna mtu atakuamini sababu hili jambo tayari lipo kwa pilato.
 
Rafiki yangu unapoteza dira kupayuka kwako hata CCM watkuogopa,kuwa makini sana na mdomo wako,kama ulionewa mungu atakulipia na sio wewe kueneza mambo ambayo hayana mshiko,wastaarabu wamekaa kimya juu ya maovu yako na ninauhakika unakasoro ndio maana umetimuliwa CDM.Nakuesabia siku ukiendelea hivi utapotea katika ulingo wa siasa.
 
Wewe ulipokosa cheo Bavicha imekuuma sana sana sasa umekalia uzushi na majungu tu....na hapo ccm sahau kitu kinaitwa uongozi...
 
Back
Top Bottom