Zahera ameisaidia Yanga kupata mafanikio kuliko mtu yoyote. Yule papaa ni mchawi.
Kuna kipindi Yanga hawana hata hela ya kula ila timu inashinda anaenda kuwanunulia mihogo na juice ya jero.
Baada ya kumfukuza kama mkurugenzi wa ufundi tutegemee Yanga kuyumba. Yule papaa ni mchawi wa soka la bongo