majebelenzoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 288
- 465
Hizo alizofungwa biashara ilikataliwa, na ni zile tuu ambazo hazina ufadhili wa gsmWe mpuuzi kweli unajua maana ya match fixing kweli? Match fixing maana yake ni mechi imenunuliwa na kivyovyote matokeo nilazima yatoke kama ilivyonunuliwa. Sasa Yanga mbona amefungwa mechI mbili msimu huu?