Ninavyopiga pesa kupitia kinachoitwa 'Match Fixing' za Yanga

We mpuuzi kweli unajua maana ya match fixing kweli? Match fixing maana yake ni mechi imenunuliwa na kivyovyote matokeo nilazima yatoke kama ilivyonunuliwa. Sasa Yanga mbona amefungwa mechI mbili msimu huu?
Hizo alizofungwa biashara ilikataliwa, na ni zile tuu ambazo hazina ufadhili wa gsm
 
Reactions: Tui
Ukileta ushabiki kwenye mambo yanayohitaji utaalamu lazima utaongea nonsense . Ni mjinga pekee anayeweza kuibeza yanga kuwa sio timu bora ndani ya ligi ya tanzania kwa misimu hii mitatu mfululizo hawa jamaa wanatimu ya kuweza kupata matokeo kwenye timu yoyote ile kwenye ligi ya tanzania hata kwetu Simba . Ukibisha ulete takwimu
 
We mpuuzi kweli unajua maana ya match fixing kweli? Match fixing maana yake ni mechi imenunuliwa na kivyovyote matokeo nilazima yatoke kama ilivyonunuliwa. Sasa Yanga mbona amefungwa mechI mbili msimu huu?
m. 1 aitoe wapi
anajitekenya na kucheka mwenyewe huyo
 
Unatumia reference za ulaya kuongelea mambo ya tanganyika
Mechi yoyote kati ya Yanga na Dodoma jiji au yanga na singida usiumize kichwa ,mshindi anajulikana weka mzigo kula hela
 
Kuhusu yanga kushinda au simba inajulikana kwasababu ligi ya tanzania haina ushindani , lakini haina maana kuwa Yanga anaweza kushinda mechi zote kwa msimu. Lazima atasare au kufungwa michezo mitatu msimu unaisha . Hii inamaana kuwa kama umeweka milioni michezo yake yote utapoteza zaidi ya milion 3. Na ushindi utakaokuwa unaupata sio zaidi ya 100,000 kwa mchezo mmoja hivyo unakuwa umerudisha au kupata hasara. Betting ni biashara usifikiri wawekezaji wanavyoweka hizo gemu niwajinga
 
Na tarehe 8 pia mpe Yanga! Hutojutia.
 


nina mkosi na hili litimu liitwalo yanga. nilimpa mechi na tabora united ili ashide, akakandwa, nikampa tena mechi na JKT aka....... https://jamii.app/JFUserGuide it
 
Unatumia reference za ulaya kuongelea mambo ya tanganyika
Mechi yoyote kati ya Yanga na Dodoma jiji au yanga na singida usiumize kichwa ,mshindi anajulikana weka mzigo kula hela

hata yanga na simba
 
Hii fursa watu inabidi waione na wazidi kuomba ili iendelee na vijana wapate kujikwamua kiuchumi
 
mi nasubiri kubeti Yanga vs Pamba
naweka milioni yanga ishinde zaidi ya goli moja.
hapo uhakika
 
Ikikosa sifa hizo sio match fixing na matokeo yanaweza kubadilika. Pia nikufahamishe tena ukiona wewe umepata fixed game ujue hata uki stake huo mkeka hautalipwa. Hapo nimekutoa ushamba kidogo kuhusu fixed game.
Wewe ni maamuma na hakuna unalojua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…