Ninavyosaidia brand za afya kupata wagonjwa wengi na mauzo zaidi kupitia victoria agency

Ninavyosaidia brand za afya kupata wagonjwa wengi na mauzo zaidi kupitia victoria agency

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
NINAVYOSAIDIA BRAND ZA AFYA KUPATA WAGONJWA WENGI NA MAUZO ZAIDI KUPITIA VICTORIA AGENCY.

Unajua changamoto kubwa ya biashara za afya?

Dawa nyingi za asili Herbal medicine zinasaidia sana watu wengi wanapona kwa gharama ndogo sana.

Nimefanya kazi na brand za afya, Ila 👇👇

brand za afya2.jpg


Unakuta mtoa huduma za afya ana

👉 Huduma nzuri, lakini hapati wagonjwa.
👉 Anatibu magonjwa mengi ila, lakini hakuna anamfahamu.
👉 Dawa zake zinaleta matokeo ya haraka, lakini hakuna hata anayeuliza.

Changamoto kubwa ni Visibility + Marketing Strategy.

Biashara yoyote haitoshi tu kuwa na huduma au bidhaa nzuri Ili upate wateja wengi:

âś… Watu wanapaswa kukuona kila siku
âś… Wakuamini
âś… Waone unachokisema
âś… Na waoneshe matokeo

Hapo ndipo mimi na timu ya Victoria Agency tunafanya kazi yetu

Tunatumia strategy zinazofanya kazi kupeleka huduma zako kwa watu sahihi:

🔥 Facebook na Instagram Paid Ads
🔥 WhatsApp marketing
🔥 Content creation (copywriting)
🔥 Shuhuda (testimonials) na matokeo ya wateja
🔥 Outreach with social proof

Mfano

Kuna mtu ana duka la virutubisho alilikuja kwetu akiwa anauza kwa wastani wa wateja wawili kwa siku (Wapita njia).

Baada ya kumfanyia huduma ya matangazo na content

Matokeo: Mauzo yakaongezeka hadi wateja 20 kwa siku. kwa kutumia content na matangazo.

Wafanyabiashara wengi wa afya hawajui nguvu ya Paid Ads.
Yupo tayari aweke speaker nje atangazie wapita njia.

Kwa kutumia tangazo moja tu unaweza kufikia:

📍 Watu 10,000+ kwa siku
📍 Walioko mkoa unaotaka
📍 Wenye tabia za kutafuta tiba kama zako
📍 Na walioko tayari kununua

Matangazo haya hayawaonyeshi tu followers wako yanaenda mbali zaidi:

Unaonekana kwa watu wengi sana

Uzuri wa tangazo unachagua nani aone tangazo lako na wapi lionekane.

Na usisahau hili:

Biashara zinazotambulika na kuaminika ndizo hupata wateja zaidi.

⚠️ Kama jina la biashara yako halijasajiliwa, huonekani serious.

⚠️ Kama huonyeshi feedback ya wateja, watu hawaamini.

⚠️ Kama huna visibility mtandaoni, watu watakusahau.

Ndiyo maana Victoria Agency tunakusaidia pia:

📌 Kusajili jina la biashara (BRELA)
📌 Kutengeneza social media branding
📌 Kusajili bishara yako
📌 Kufanya Branding (review & testimonials poster)

Kwa kifupi tunatengeneza njia ya wateja kuja kwako moja kwa moja.

Na tunaifanya brand yako ionekane kila siku.
Watu wakiona:

âś… Wanakuamini
âś… Wanakuuliza
âś… Wananunua
âś… Wanaleta wengine

Kama biashara yako ya afya imesimama.

Inawezekana huduma sio mbaya ni kwa sababu watu hawajui unayofanya.

Sio muda wa kufunga biashara.
Ni muda wa kubadili mbinu zako.

👉 Tuanze leo.
 
Back
Top Bottom