Ninavyotafuna pisi kali kwa kufananishwa na mtu mmoja maarufu hapa nchini

Mdukuzii

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
2,552
Reaction score
6,422
Wanawaje wote akili zao zinafanana. Unakumbuka ule mwaka Leicister city anachukua ubingwa wa EPL?

Timu ilikuwa chini ya kocja Raniel
Sasa kuna mzee mmoja pale England kaganana na Raniel copycopy
Mzee choka mbaya mtoto wa mjino alivhoganya ni kuchonga siti zake mbili na kukatiza mitaa ya london. Mademu wakawa wanajigonga kwake wakidhani ni Raniel orijino kumbe fake. Aliwatafuna aswaaa.

Sojisifii ila nimefanana na mtu mmoja maarufu hapa nchini. Japo jamaa sio handsome kama mimi ila amerahisisha maisha yangu, sijui siku akifa nitaishije?

Mwaka wa nne huu sina leseni naendesha gari trafiki wakinikamata huniita kwa jina la huo msukule wangu na kuniruhusu. Nimegonga pisi kali sana kwa mtindo huo. Kuna mmoja ni mwanasheria baada ya kumchapa na kugundua sio mimi akatishia kunishitaki kwa kosa la impersonation.

Ila aliamua kupotezea, nilimtia hasara sana dada yule.. Naomba Mungu jamaa asife leo wala kesho. Niliwahi kukutanishwa na hiyo jamaa kila mtu akabaki kucheka
 
Kwahiyo kufanana na Mandonga ishakuwa deal ?
 
Hahaha dah.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…