Hahaaa nyamayo rafkizangu walisem unavyosema, wakaongezea nisimruhusu kuja kwangu tena na ni mnunie kabisa, ila ningumu kumfukuza mtu.
Nilidhani atajirekebisha lakini wapi, siku moja nilimwambia anisaidie kuniletea vinywaji na vitu vingine na wageni then ntamrudishia pesa yake akifika tu, basi akanunua alivofika acha anidai nikamwambia sikupi kwani inamaana wewe huezi mpa mtu kitu, au wewe hua hugusi vya wenzio, ok ntakupa lakini hutakaa uguse kitu changu.
Akasema basi bwana, na sikumpa akata mguu kabsaa hakuja muda sana, then akaanza kupita tena.