Ninawachukia Hawa.....

Ninawachukia Hawa.....

Nahisi wewe unaroho mbaya tena ya Korosho! Inabidi unajichekesha chekesha hata akiondoka na nusu chupa.....ladies manners!

nitajaribu kuipaka rangi iwe nyeupe labda itakuwa nzuri, kuendekezana tu, na kuvumilia matabia mabaya, yeye soda hawezi kununua kwangu anifanyie vituko pweehhh...cc wengine madume jike.


:ranger::ranger::ranger:
 
Kupigana mizinga nadhani hukoleza penzi, unaomba 50,000 nami nikiomba 100,000 unatoa tu!
Hiyo imetulia ukinipa na ukitaka ntakupa, lakini ukiwa wewe tu aa wapi na mi nakua tindo kichizi.
Ukinikopesha ntakulipa kwa wakati, nikikukopa ntakudai maramoja ukinirusha kama si mpenzi wangu ntakupotezea ila kama ni mtu wangu sikukopeshi tena NA PIA SIKUACHI kama ni penzi liwe chukuchuku hivohivo.
 
Napenda nipe nikupe style sijui kama nachunwa au vipi ila na mimi namchuna kwa wakati wangu
 
ukishaona kuna kukopeshana kuaminiana hakuna tena. ila sasa kuna mwanaume unampa hela hadi za ku-maintain small house. na hao wezi wa kike wabaya kweli,hakawii kukupigia kabisa kukutambia ile milioni alikuomba wakati ule ilikuwa kodi yangu! ukishaona mambo halijojo ndo kunakuwa na zangu na zako,ila kama uko makini unafanya saccoss kabisaa, akichukua laki unajitwalia laki 3,hehehe!

</p>
<p>&nbsp;</p>
Wandugu kukopeshana kupo tena mimi na kufagilia sana, kumbuka binadamu tuko tofauti, kuna watoaji na wasio toa hata kama yeye ni milionea. Imagine waschana tunavyopenda kushop, ukiona tsht nzuri una mchukualia mwanaume wako mkanda hutaki apitwe lakinini yeye, hata sikumoja hakumbuki hata kitambaa cha mkononi, na si kwamba hakupendi ispokiua si mtoaji kutoa ni moyo au wito jamani.Sibora mkopeshane tu mnakua mnapendana, hapohapo when it comez to money you mean busnss ila mara moja mojaakija amelewa unamsichi kwan nini after few dayz unamuomba msamaha mnaendelea hiyo nayo suna.
 
Kuna hata wanaume kwa wanaume tunapigana sana mizinga.....Rev Nisaidie 100.000 nataka toka na Bi Chauro...ukimpatia sahau....

hahaaaaaa tena nyie wanaume kwakupigana mizinga wenyewe kwa wenyewe, mmezidi, utaona bili inaletwa mmja kaziake kila siku yeye kuwambia wenzie aisee una buku mbili hapo ntakupa badae mi sina chenji ndo imetoka nakila siku ni wahivo hivo hapigi mzinga mkubwa.
 
Wanaume wengine bila "kupigwa mzinga" wanajihisi kama fedhea fulani! Kwahiyo lazima amwachie 100,000/= kila anapotoka kwenda "lunch" na msichana...
Kumwachia mtu kwakupenda sio mbaya, mbaya ni ile kila siku unajililisha shida au hata hulalamika ila unamuomba mwenzio kila siku its not cool bwana.
 
ukishaona kuna kukopeshana kuaminiana hakuna tena. ila sasa kuna mwanaume unampa hela hadi za ku-maintain small house. na hao wezi wa kike wabaya kweli,hakawii kukupigia kabisa kukutambia ile milioni alikuomba wakati ule ilikuwa kodi yangu! ukishaona mambo halijojo ndo kunakuwa na zangu na zako,ila kama uko makini unafanya saccoss kabisaa, akichukua laki unajitwalia laki 3,hehehe!

Hapa tena imezidi unachukua pesa ya mkeo unampa small house. This is too much
 
Sisi wapanda daladala ukikutana naye siti moja hata kama alikuwa na nauli yake anakutolea macho, halafu hata ukimnunulia hiyo vocha baadae atakubip ukimpigia "Nilitaka kukushukuru kwa kuninunulia vocha ...... ha ha ha haaaaaa!

Hahaaaa hiyo nayo kali, hapo inamaanisha ataimaliza kwa kuongea na wengine sio wewe.
 
ngoja wazile zinapolika kwani tatizo lipo wapi kama
mtu anaamua kutoa kwa hiali
 
unamuangalia tu? kwann, kibo mie ningemwambia hakuna kuondoka nayo kama hawezi kjimiminia kwenye glass na atulie, tena ukute ndio nimebakiwa nahako kachupa ka1 ndio kabisa, kuna watu wana mitabia michafu kweli yaani wewe ukute mtu kajinunulia vinywaji vyake ndani ubebe ukanywee kwako bila idhini?

Hahaaa nyamayo rafkizangu walisem unavyosema, wakaongezea nisimruhusu kuja kwangu tena na ni mnunie kabisa, ila ningumu kumfukuza mtu.
Nilidhani atajirekebisha lakini wapi, siku moja nilimwambia anisaidie kuniletea vinywaji na vitu vingine na wageni then ntamrudishia pesa yake akifika tu, basi akanunua alivofika acha anidai nikamwambia sikupi kwani inamaana wewe huezi mpa mtu kitu, au wewe hua hugusi vya wenzio, ok ntakupa lakini hutakaa uguse kitu changu.
Akasema basi bwana, na sikumpa akata mguu kabsaa hakuja muda sana, then akaanza kupita tena.
 
Mkaka hata humjui anakuomba penzi. Siwapendi hao kabisa.
 
Mkaka hata humjui anakuomba penzi. Siwapendi hao kabisa.

Dongo kwa wakwale wa JF!

hajatajwa mtu jina lakini. Lol.

Tuliosomea psychology tunaelewa....jina baki nalo! Lol

haya baba mchungaji.

Nadhani amekukera sana na PM na kumpa namba ya simu imekuwa kosa!

dah! Nimempa hadi password yangu ya jf. Bado kidogo nimpe password ya kadi ya benki. Sirudii tena!

Jamaa anamautaalamu ya TBS kIwango mno! Kakufikisha

hivi sredi inasemaje tena baba Mchunganji na Husninyo?
 
Back
Top Bottom