Mkaka hata humjui anakuomba penzi. Siwapendi hao kabisa.
dah! Nimempa hadi password yangu ya jf. Bado kidogo nimpe password ya kadi ya benki. Sirudii tena!
Hahaaa nyamayo rafkizangu walisem unavyosema, wakaongezea nisimruhusu kuja kwangu tena na ni mnunie kabisa, ila ningumu kumfukuza mtu.
Nilidhani atajirekebisha lakini wapi, siku moja nilimwambia anisaidie kuniletea vinywaji na vitu vingine na wageni then ntamrudishia pesa yake akifika tu, basi akanunua alivofika acha anidai nikamwambia sikupi kwani inamaana wewe huezi mpa mtu kitu, au wewe hua hugusi vya wenzio, ok ntakupa lakini hutakaa uguse kitu changu.
Akasema basi bwana, na sikumpa akata mguu kabsaa hakuja muda sana, then akaanza kupita tena.
hahahaha mie huyu ningemkimbiza kabisa kabisa ...
Ahaaaa ahaaaa jana kuna jamaa kapigiwa simu na mdada anaambiwa "Leo birthday yangu njoo uninunulie kreti mbili za bia" jamaa nikasikia anamjibu wee chizi nini
Eti unaniachaje sasa Gaga lol ulaaniwe na mwenyez Mungu, sipendi kupiga mizinga na sipendi kupigwa mizinga ila zinazojileta nazivuta tu kiaina
hahahaaa.... ukweli mtupu, siku hizi ngoja nikupe formula ambayo karibia itapitishwa na kikao chao cha bunge
Viwango vya mikuki kwa sasa
wale wa UDOM - 50,000 hadi 100,000
MUCCOBS - 15,000 hadi 50,000
ST. Augustine (Buzwagi) - 30,000 hadi laki mbili
UDSM - 100,000 hadi laki tano
MUHAS - Vitabu au laki
Walioajiriwa serikalini - laki hadi milioni :dance:
Walioajiriwa NGO - bili hadi starlet
Walio kwenye corporates - Laki 2 hadi milioni tatu
Waliojiajiri - elfu saba hadi milioni kumi
hao hapo juu ni akina dada
kwa akina kaka... bado formula inapitiwa maana wengine wanaomba kuanzia fegi hadi Prado
una kutana na mdada first day
siku ya pili anakwambia kodi ya nyumba nzima aliyopanga imekwisha.....
unabaki mdomo wazi....
as if tusingeonana ungelala stendi au??????????
Meona eeee, maana utakuta umekaa na mtu mahala bill ikija anajifanya kama haimuhusu vile, au ooo kadi nimesahau... yaani kuna warembo wanachunwa bala, kuna dada mmoja hajaolewa na anafanya kazi kwenye bank ni boss fulani basi kila akipata bf anakuwa hajampenda yye ni pesa, hata akiamua kwenda dinner yanamkuta, mizinga kila mara, mara mkaka anataka aongezewe pesa imepungua abadili gari. hii inamsumbua sana kiasi ameona hataweza kupata mchumba wa ukweli coz kila anayekuja anakuja kwa style ya mizinga,kaamua kuacha kabisa sasa
Rev:
Why can't you just say NO!!!!!!!!!!!!? I really dont understand how is that a grow a** woman/man anatoa pesa zake mifukoni with her/his own two hands and later on complain , and start playing the victim??So personally natoa wito kwa wale wote wanaofanywa ATM........................Pls do practice saying NO
Wewe hupigi mizinga rev? unajua kuna wanawake ni proffessional yaani hujaombwa umetoa mwenyewe.. yani jinsi ukiwa nae unahisi tu kumuhudumia mwenyewe
hivi sredi inasemaje tena baba Mchunganji na Husninyo?
Acha kujimegea wewe mkaka humjui umpe password yako ya nini?