Ninawakumbusha wanayanga wenzangu kuhusu Zahera

Angalia msimamo nani mikia,shame on you
Shameless person. Msimamo baada ya mechi mbili?
Does it make sense?
Anza kuangalia msimamo midseason onwards.
 
Shida pesa,

Yanga ingekuwa na pesa ningeshauri waajiri kocha mwingine lakini Zahera abaki na usemaji wa timu kwa sababu huo anauweza.
 
Una maanisha baba yako na mama yako hawana aibu, msilete siasa kwenye soka.
Bora ulivyomjibu vizuri Kuna mijitu mengine sijui ikoje Kila wakati anawaza siasa hats kwenye mambo ambayo hayaitaji siasa.
 
Performance mbovu ya Yanga tatizo siyo kocha bali kuna miungu watu walionyang'anywa ulaji Ndiyo wanahujumu timu na ipo siku wataumbuka
 
Hata mimi naunga mkono hoja. Kama kuna uwezekano wa kubadili benchi la ufundi, na iwe hivyo ili kurudisha morali ya timu na wachezaji.
 
Zahera must be FIRED SOON!!!!
Believe me. Aussens will be fired first!
5imba eliminated in the first round of CAF Championship after reaching the quarter final in the previous season.

Any slip in VPL, Aussens will be shown the exit door.

Are you reserving the Brazilians for Namungo games?😁😁😁😁
 

Mkuu mfumo wao hata na mm siujui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi na support tu zahera asiondoke ili wapoteane msimu huu
 
Mtuambie kwanza mkia wanatumia mfumo gani vile? Na je wameingia makundi club bingwa au wapo shirikisho?

Mwanamke Malaya siku zote hatazami ya nyumbani kwake ananga'ang'ana na yasiyo muhusu ndiyo maana hachagui vikojoleo vya kumuingia.

Hali kadhalika mwanaume shoga akiwashwa tu anakunja saba mahali popote hachagui, akili humjia baada ya kutatuliwa marinda!

Ni mpumbavu pekee ndiyo anaweza kuihukumu timu kwa kuangalia msimamo wa ligi baada ya mechi mbili.

Zehera haihusu simba ni kocha wa Yanga achaneni na mambo yasiyo wahusu tafakari mlitolewaje club bingwa round ya kwanza. Shubaaaaaaamitiiiiiiiiii nyie .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…