Ninawakumbusha wanayanga wenzangu kuhusu Zahera

Ninawakumbusha wanayanga wenzangu kuhusu Zahera

Shida pesa,

Yanga ingekuwa na pesa ningeshauri waajiri kocha mwingine lakini Zahera abaki na usemaji wa timu kwa sababu huo anauweza.
 
Una maanisha baba yako na mama yako hawana aibu, msilete siasa kwenye soka.
Bora ulivyomjibu vizuri Kuna mijitu mengine sijui ikoje Kila wakati anawaza siasa hats kwenye mambo ambayo hayaitaji siasa.
 
Juzi nilitoa thread ikisema inasema Zahera atatoa visingizio mechi dhidi ya Police baadhi wakatukana ninarudia tena Zahera hana mbinu tena na wakati wake wakuondoka umefika viongozi msipepese macho jamaa atimuliwe mapema kabla hatujafikia kilele cha ligi na kuanza kung'ang'ana kushuka daraja timu haijulikani inatumia mfumo upi wa ku attack
Performance mbovu ya Yanga tatizo siyo kocha bali kuna miungu watu walionyang'anywa ulaji Ndiyo wanahujumu timu na ipo siku wataumbuka
 
Hata mimi naunga mkono hoja. Kama kuna uwezekano wa kubadili benchi la ufundi, na iwe hivyo ili kurudisha morali ya timu na wachezaji.
 
Zahera must be FIRED SOON!!!!
Believe me. Aussens will be fired first!
5imba eliminated in the first round of CAF Championship after reaching the quarter final in the previous season.

Any slip in VPL, Aussens will be shown the exit door.

Are you reserving the Brazilians for Namungo games?😁😁😁😁
 
Hivi chemistry ya timu inapatikana vipi? Mana Yanga imecheza mechi 8 za kirafiki na mechi 6 za kimashindano, hapo sijaweka zile mechi mlizocheza na walima matikiti pale morogoro na wale watoto.
Mi bila kuweka ushabiki Yanga bdo inaupungufu wa viungo washambuliaji, angalau kwa Jana nimemuona mapinduzi balama, mwambieni kocha wenu aache kumpanga kama winga ya kulia,
Mwisho naomba mnisaidie hivi Yanga inacheza mfumo gani?

Mkuu mfumo wao hata na mm siujui 😂😂😂 Mimi na support tu zahera asiondoke ili wapoteane msimu huu
 
Mtuambie kwanza mkia wanatumia mfumo gani vile? Na je wameingia makundi club bingwa au wapo shirikisho?

Mwanamke Malaya siku zote hatazami ya nyumbani kwake ananga'ang'ana na yasiyo muhusu ndiyo maana hachagui vikojoleo vya kumuingia.

Hali kadhalika mwanaume shoga akiwashwa tu anakunja saba mahali popote hachagui, akili humjia baada ya kutatuliwa marinda!

Ni mpumbavu pekee ndiyo anaweza kuihukumu timu kwa kuangalia msimamo wa ligi baada ya mechi mbili.

Zehera haihusu simba ni kocha wa Yanga achaneni na mambo yasiyo wahusu tafakari mlitolewaje club bingwa round ya kwanza. Shubaaaaaaamitiiiiiiiiii nyie .
 
Back
Top Bottom