Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Shameless person. Msimamo baada ya mechi mbili?Angalia msimamo nani mikia,shame on you
Does it make sense?
Anza kuangalia msimamo midseason onwards.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shameless person. Msimamo baada ya mechi mbili?Angalia msimamo nani mikia,shame on you
Bora ulivyomjibu vizuri Kuna mijitu mengine sijui ikoje Kila wakati anawaza siasa hats kwenye mambo ambayo hayaitaji siasa.Una maanisha baba yako na mama yako hawana aibu, msilete siasa kwenye soka.
Performance mbovu ya Yanga tatizo siyo kocha bali kuna miungu watu walionyang'anywa ulaji Ndiyo wanahujumu timu na ipo siku wataumbukaJuzi nilitoa thread ikisema inasema Zahera atatoa visingizio mechi dhidi ya Police baadhi wakatukana ninarudia tena Zahera hana mbinu tena na wakati wake wakuondoka umefika viongozi msipepese macho jamaa atimuliwe mapema kabla hatujafikia kilele cha ligi na kuanza kung'ang'ana kushuka daraja timu haijulikani inatumia mfumo upi wa ku attack
Washauri mikia wenzio Haji Manara awe kocha mkuu 5imba.Bora ulivyomjibu vizuri Kuna mijitu mengine sijui ikoje Kila wakati anawaza siasa hats kwenye mambo ambayo hayaitaji siasa.
Zahera must be FIRED SOON!!!!Mikia mnapenda kuweweseka na Zehera. Mmefanya fitna afungiwe. Bado hamjatosheka tu. Kala wake zenu?
Believe me. Aussens will be fired first!Zahera must be FIRED SOON!!!!
Hivi chemistry ya timu inapatikana vipi? Mana Yanga imecheza mechi 8 za kirafiki na mechi 6 za kimashindano, hapo sijaweka zile mechi mlizocheza na walima matikiti pale morogoro na wale watoto.
Mi bila kuweka ushabiki Yanga bdo inaupungufu wa viungo washambuliaji, angalau kwa Jana nimemuona mapinduzi balama, mwambieni kocha wenu aache kumpanga kama winga ya kulia,
Mwisho naomba mnisaidie hivi Yanga inacheza mfumo gani?