Ninawapongeza wanaCHADEMA kwa kutorukia habari ya kifo cha jambazi Banjoo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Safari hii hawa nyumbu wamejuzuia sana kutorukia hii agenda. Pamoja na wanaharakati shetani Mange na bibi Maria kuivalia njuga habari ya kifo cha jambazi Banjoo ila wanaCHADEMA wengi hawajaunga mkono harakati zao. Sijajua kama ni ukomavu wa kiakili au labda kwa sababu Jambazi Banjoo hakuwa mtu wa dini ya wanaCHADEMA wengi? Askofu wa CHADEMA Mwamakula alipost ila akakutana na upinzani mkali kwenye comment.

Soma Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Ninawapongeza sana nyumbu kwa kuepuka mtego wa kumlilia jambazi aliyedhulumu uhai wa wengi.
 
Acha upumbavu
Jambazi anathitibika mahakamani
Yaani vyombo vya dola vinatuhumu na kuuwa watu bila kufikisha mahakama.

Hii nchi inatakiwa ifate utawala wa sheria na katiba

Mahakama ndo kuthibitike makosa na adhabu zitolewe na mahakama

Sio kwakuwa police walimuita Banjoo jambazi wamuuwe tu

Sisi raia wenye akili timamu tunapinga huu upumbavu
 
Safari hii hawa nyumbu wamejuzuia sana kutorukia hii agenda. Pamoja na wanaharakati shetani Mange na bibi Maria kuivalia njuga habari ya kifo cha jambazi Banjoo ila wanaCHADEMA wengi hawajaunga mkono harakati zao. Sijajua kama ni ukomavu wa kiakili au labda kwa sababu Jambazi Banjoo hakuwa mtu wa dini ya wanaCHADEMA wengi? Askofu wa CHADEMA Mwamakula alipost ila akakutana na upinzani mkali kwenye comment.

Ninawapongeza sana nyumbu kwa kuepuka mtego wa kumlilia jambazi aliyedhulumu uhai wa wengi.
Chizi jingine lililorogwa tena
 
Wanaharakati na nyumbu nimewavua nyota kwa skendo hii. Kila kitu wanapita nacho iliwapate cheap popularity. Wanaboa sio siri
 
Acha upumbavu
Jambazi anathitibika mahakamani
Yaani vyombo vya dola vinatuhumu na kuuwa watu bila kufikisha mahakama.

Hii nchi inatakiwa ifate utawala wa sheria na katiba

Mahakama ndo kuthibitike makosa na adhabu zitolewe na mahakama

Sio kwakuwa police walimuita Banjoo jambazi wamuuwe tu

Sisi raia wenye akili timamu tunapinga huu upumbavu
Kulingana na habari zilizopo hapa JF wengi wanadai Banjoo alikuwa jambazi. Lakini kwa mshangao wa wengi, alitoka gerezani alipokuwa amehukumiwa kifungo na kurudi uraiani. Inasemekana alitoka kwa sababu alikuwa na connection na wakubwa ndani ya CCM. Baada ya kuwa uraiani inasemkena 29/10 alihamasisha vijana kuingia mtaani na kudai uchaguzi huru. CCM ikaamua kumuua. Hvyo basi, Banjoo alipokuwa jambazi, alikuwa ni rafiki wa CCM, lakini baada ya kuacha ujambazi na kutaka wananachi wadai haki, wamemuua.
 
Kataa Ujambazi.

Jambazi dawa yake ni CHUMA.

Haaaaa Basi inatoshaa kivumbi leo - KULA CHUMA HICHO.
 
Back
Top Bottom