MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Chizi jingine lililorogwa tenaSafari hii hawa nyumbu wamejuzuia sana kutorukia hii agenda. Pamoja na wanaharakati shetani Mange na bibi Maria kuivalia njuga habari ya kifo cha jambazi Banjoo ila wanaCHADEMA wengi hawajaunga mkono harakati zao. Sijajua kama ni ukomavu wa kiakili au labda kwa sababu Jambazi Banjoo hakuwa mtu wa dini ya wanaCHADEMA wengi? Askofu wa CHADEMA Mwamakula alipost ila akakutana na upinzani mkali kwenye comment.
Ninawapongeza sana nyumbu kwa kuepuka mtego wa kumlilia jambazi aliyedhulumu uhai wa wengi.
Kulingana na habari zilizopo hapa JF wengi wanadai Banjoo alikuwa jambazi. Lakini kwa mshangao wa wengi, alitoka gerezani alipokuwa amehukumiwa kifungo na kurudi uraiani. Inasemekana alitoka kwa sababu alikuwa na connection na wakubwa ndani ya CCM. Baada ya kuwa uraiani inasemkena 29/10 alihamasisha vijana kuingia mtaani na kudai uchaguzi huru. CCM ikaamua kumuua. Hvyo basi, Banjoo alipokuwa jambazi, alikuwa ni rafiki wa CCM, lakini baada ya kuacha ujambazi na kutaka wananachi wadai haki, wamemuua.Acha upumbavu
Jambazi anathitibika mahakamani
Yaani vyombo vya dola vinatuhumu na kuuwa watu bila kufikisha mahakama.
Hii nchi inatakiwa ifate utawala wa sheria na katiba
Mahakama ndo kuthibitike makosa na adhabu zitolewe na mahakama
Sio kwakuwa police walimuita Banjoo jambazi wamuuwe tu
Sisi raia wenye akili timamu tunapinga huu upumbavu
Jaribu na wewe kufanya ujambazi uone kitakachokukuta.Sisi raia wenye akili timamu tunapinga huu upumbavu