Ndiyo. Huwezi kumaliza haja kubwa bila kutoa haja ndogoHuwezi kuizungumzia chadema bila kumhusisha JPM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo. Huwezi kumaliza haja kubwa bila kutoa haja ndogoHuwezi kuizungumzia chadema bila kumhusisha JPM?
JPM lazima azungumzwe kwa sababu yeye mdo icon na ni mfano wa kuigwa ila amekuwa ayatollahHuwezi kuizungumzia chadema bila kumhusisha JPM?
Mimi nangojea nafasi ya Urais sasa!Mwanzo mzuri. Ngoja tusubiri tuone kama Kamati Kuu itaheshimu chaguo za wanachama na kurudisha majina ya washindi kama yalivyo
Nani ana mtaka kahaba wa kisiasa huyo? Kwanza kuna taarifa kuwa ana mkono mrefu hivyo akae hukohuko kwa wenzakeCHADEMA iko Moyoni Mwako na CCM iko tumboni mwako.
Maandiko yako yanathibitisha bado una mahaba ya dhati kwa CHADEMA.
Sio vibaya ukirudi ulipotoka!
Kama vile aibu ya Wassira(M-Nec,waziri mstaafu mwandamizi) kushindwa na Ester Bulaya,Halima mdee kuwashinda wanaume wa kawe hapo.Hii ni aibu kubwa sana kwa John Mrema na Salumu Mwalimu
Mshindi wa kwanza tulimpa CROSSHaiwezekani mshindi wa pili akachaguliwa, wa kwanza akaachwa? oh, kumbe huku ni Chadema, poleni sana.
Karibuni nyumbani kumenoga .....CCM oyeeeee
Siwezi kwa vile yeye (au anapashwa) ni KIOO na KIELELEZO cha kila kitu kwetu be it katiba, sheria, democracy, utii, tabia njema, kauli njema, mfariji Mkuu etc etc etc! . Kama anakiuka hayo, basi lazima nimseme! Nimlinganishe na wengine
Nakubali kwa 100% demoghasia ya Ccm ni babukubwa no wonder wabunge wapinzani waliounga mkono juhudi hawataruhusiwa kushindanishwa na walioipigania CCM miaka yote.Hivi CHADEM 2015 walichapisha form ngapi kwaajili ya wagombea urais. Au wameshasahau.
Na CCM 2015 walichapisha form ngapi. Tuwe tuna tafakari kabla ya kuongea. Huwezi linganisha demokrasia ya ccm na ya chadema. Vitu viwili tofauti.
haya niliyaona kwa Idd Amin! Sikufikiria kuwa tungelifika huko! Exactly tabia za tawala za madikiteita!Wahuni hao Mkuu democracy kwao ni FOREIGN WORD. Wamezoe kung’ang’ania madaraka kwa njia HARAMU za kutisha watu au kuwafukuza na pia mtutu wa bunduki ili kuiba chaguzi. Angalia jinsi kauli ya Sheikh Ponda walivyoiogopa na kudai eti ni UCHOCHEZI!!!
haya niliyaona kwa Idd Amin! Sikufikiria kuwa tungelifika huko! Exactly tabia za tawala za madikiteita!
wanajua kuwa hakubaliki pamoja na upuuzi wa stigila, madebe eti ndege etcWewe ni kama mimi Mkuu. Ya Burundi, ya M7 na madikteta wengine sikutegemea kuyaona kwetu. Pamoja na kumsifia sana huyo dikteta kwamba ni jembe kafanya mengi sana tangu 2015 blah blah blah lakini wanaoigopa tume huru kwa kujua fika nini kitawafika October 2020.
Dikteta katenda mengi mazuri tangu 2015 lakini anahofia uchaguzi huru na wa haki!!!! Very STRANGE!
Nadhani tusubiri wakati wa kampeni zitakapoanza,lakini jambo ninaloona mazingira ya 2020 na 2015 no tofauti sana,Naona vyama vya upinzani vinapitia nyakati mbaya zaidi toka huu mfumo uhasisiwe nchini ila muda utasema ngoja tuone bado miezi mitatuNakipongeza CDM kwa ukomavu wa demokrasia ktk kuchuja majina ya watia nia wao. Hakuna suala la kuchapisha fomu moja kwa ajili ya aibu ya kukwepa ushindani, hakuna majina kutoka mfukoni mwa suruali ya Mwenyekiti Taifa, hakuna uwepo wa vivuli vya majina makubwa kutoka Makao Makuu, hakuna kusifu na kuabudu, bali ni wanajimbo kupewa nafasi ya kuchuja watia nia kutokana na "merits" zao hapo jimboni.
Team - CCM hapa mnalo la kujifunza hapa. Kote Tanzania Bara na Visiwani mtaadhibiwa na wananchi wenye mapenzi mema kutokana na ubabaishaji mwingi mlioufanya ktk jambo hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kayasema kweli haya maneno bwana Jiwe?? Kama aliyasema haya asee tumepatikana sanaHuko kwenu mwenyekiti hua anawazodoa tu wanawake,mara barakoa inafanana na titi lililokatwa hahahah
Hahah mkuu alisema hivyo hivyo nilivyoandika,siku hio alikua anaongea na wale jamaa wa CWT(Chama cha Walimu Tz).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kayasema kweli haya maneno bwana Jiwe?? Kama aliyasema haya asee tumepatikana sana