PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Aliyekuloga amekufa?kwani kuna mtu aliwatuma? pambaneni na hali zenu hakuna aliyewatuma kuchagua utawala dhalimu , na nyie ndio mnasifia kila uchao ooh anaupiga mwingi ooh tunamshukuru mama, mshukuruni pia kwa ajali hiyo ili shukrani zenu zimdfikie akiwa huko Ufaransa. Nchi ya viazi mviringo kabisa.
Nchi hii Toka lini watu wanachagua MTU wanayemtaka? Nani mwenye uwezo wa kwaondoa CCM Kwa njia ya Kura? Kwa katiba gani unaweza kumchagua MTU unayemtaka? Tanzania tunawekewa viongozi wanaochaguliwa na system na sio wananchi